Wameshamwambia ni hiari yake kuamua juu ya msitakabali wa nchi yake! Kama anataka Amani kwa Ghrama kubwa ya Vita sawa,au akubali kuachia baadhi ya maeneo ya Nchi yake kwa Urusi. Wazungu hawatampa kila silaha anayotaka kupigana na Majeshi aya Russia.
Binadamu tunatofautiana. Wako wanaopenda kunyenyekea miamba (subservience) na wako wasiokubali kunyanyaswa na wako tayari kujitoa mhanga.
Huyo “mwamba” keshasema kihistoria Ukraine si taifa huru bali ni sehemu halali ya Urusi. Anataka kuichukua jumla na kuifanya jimbo la Russian Federation. Keshaawambia kina Zelenskyy wavunje jeshi na serikali yao, wakabidhi silaha zote na kujisalimisha kwa jeshi la Urusi!
Ni mtu mwenye asili ya kuwa mtumwa wa miamba tu ndiye anayeweza kulilia Zelenskyy akubaliane na Putin kwa anachotaka. Kwanza kachakachua historia: Ukraine ilikuwa taifa kabla ya Urusi.
Kwasababu sheria zakinataifa au sheria za vita haziruhusu RAIS ama kiongozi wanchi husika
Kuuwawa ama kuuliwa wakati wa VITA
(Kuna mtu alinijibu hivi nluvyomuuliza swali kama lako)