Genio the great
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 298
- 842
πππππ Sawa mkuu nimekuelewa japo Uzi ulivyokaa upo open Sana ndio maana namm nikaona nimuulze swali fulan toka mchana hajanijib namm natamani kweli kusikia kitu toka kwake.Ukihisi KUNA code imewekwa mahali basi usitarajie kuona kama inaweza ikafunguliwa.
"MANUNU" UMEKAA WAPI?Huu uzi ukitoboa mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni, mniite mbwa... Nimekaa paleeeee π
Sijaona swali lako, uliza tena.Mtaalamu Kuna swali nimekuulza au halipaswi kujibiwa live kma inawezekna nijibu hata Private tafadhali ni muhimu kwangu ndio maana nimeuliza naona mengine yote umejibu ila langu umepita kandoππ
Shukrani, hakuwa ananidai, ila nilimkubali sana, alikuwa kwangu role model kwangu, but Mungu alimchukua, katika wakati tusiotarajia.Hayati Bernard Membe ni kaka yangu, baba mmoja mama mmoja....vipi alikuwa anakudai nije kuchukua "mpunga"? Hahahaha.
Nimeupenda Uzi na unaeleweka vzr ila Nina maswali madogo nataman kufahamu JeSijaona swali lako, uliza tena.
Anawa~Zoom"MANUNU" upo umekaa wapi?
Jibu: Hapana mimi sio mtu wa idara na sina kazi yeyote serikalini. Kama ningekuwa mtu wa idara hiyo hata nisingekuwa huru kueleza ninachokifahamu pasipo kuremba remba.Nimeupenda Uzi na unaeleweka vzr ila Nina maswali madogo nataman kufahamu Je
1: Mleta Uzi ni miongoni mwa Teeth au unamaarifa tu kuhusu Teeth ?
Maana hapo chini naona Hadi namba za simu na email kiasi Cha kufanya mtoa comment fulan Kuomba kuunganishwa na kifurushi kama inawezskana π
2: Kama jibu ni Yes yaani ni mwanachama je hii inaweza ikawa ni miongoni mwa njia za recruitment ya kupata walengwa ?π
Wewe si ulisema tukuite mbwa ndugu yanguPande za makumbusho nasubiria daladala, nigombanie nikapumzishe hili hekalu bovu la mnyaazi kwetu mwananyamala komakoma
Ukafanye nini? Jiunge na vijana wenzako mtaani mjikwamue kiuchumi.NATAKA nijunge usalama nafanyaje kaka
We nae acha uswahili! Hujaona nimemjibu Mjuni Lwambo hapo nilipokuwa?! Unataka ujue location yangu kila saa kama vile afisa wa TCRA... taratibu bana! Ebo"MANUNU" UMEKAA WAPI?
Nimependa jibu lako japo Kuna maandishi kama hujawahi kufanya kazi serikalini, kuwa mchambuzi ,mshauri wa maswala ya kazi ya Marehemu pamoja na viongozi kadhaa aliofanya nao kazi pamoja ,yameniongezea maswali zaidi ila acha maswali haya nijijibu mwenyewe inatoshaππHap
Jibu: Hapana mimi sio mtu wa idara na sina kazi yeyote serikalini. Kama ningekuwa mtu wa idara hiyo hata nisingekuwa huru kueleza ninachokifahamu pasipo kuremba remba.
Nina ufahamu mpana wa mambo mengi kutokana na elimu, ujuzi na kazi mbalimbali nilizofanya nje na ndani ya nchi. Zaidi ya yote nilikuwa mtafiti, mshauri, na mchambuzi wa masuala kadhaa yaliyohusu kazi za marehemu kaka yangu na viongozi kadhaa aliofanya nao kazi pamoja.
Wapi nimepinga ndugu mjuni?Wewe si ulisema tukuite mbwa ndugu yangu
Najua kwann uzi umetoboa... Basi yaishe Mkubwa membe ππππSitothubutu kukuita jina ulilotaka tukuite. Nakuita Makari Hodari tu.
Natamani niandike mlio wa mbwa mwitu Hapa... Ila matamshi na maandishi havishabihiani ndugu Santos, hawa jamaa natamani watuwekee voice messages hapa tuwe tunavunjana mbavu ππMbwa bweka wu wu wu
TEETH ni niniNimeupenda Uzi na unaeleweka vzr ila Nina maswali madogo nataman kufahamu Je