Akikujibu nitag1. Bahati ni nini?
2. Bahati nasibu ni nini?
3. Verify the presence of "bahati and bahati nasibu" physically, tangible and visible.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nashangaa🤣Lakini anaamini "bahati nasibu" katika kupata utajiri...[emoji847]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Miss Nakadori , Best wako Dr anataka dawa ya chuma ulete huku awe anapiga 10k daily . 🤣 🤣 🤣 🤣Njia ya kufanya ili kupiga ya week nzima. Msimbax ya week nzima
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huwa ana "mute" hajawahi kujibu swali langu lolote zaidi ya kupotezea tu [emoji28]Akikujibu nitag
Kwa uoga huu sidhani km naweza kujaribuSioo kujaribu ni kufanya kazi aisee
Ongeza nyama nyama nadhani hizi ndo level za kina jay zKama hujawai muita Lucifer ,amaymon ,Azazel wakaja ana kwa ana ,ukambind vzuri akupe utakacho au hujaconcencrate books ,Mzee bado hujui uchawi ni nni .
Hizo ulizotaja ndio chekechea kwa haya mambo .
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Muda ni wa kuzingatia hapo nimechekaKuna x wangu mmoja yeye nahisi anatumia utajiri wa hivyo,anamiliki mabasii ya mkoani jaman ,ila ukiambiwa huyu ndio anahayo magari unakataa Kwanza ni mdogo kwa maisha ya bongo umri ule kumiliki magar ya mkoa,afu yuko rafu,siyo mchafu ila hajui kupangilia kiasi kwamba ukionyeshwa ndio mmliki wa hayo magari lazima kengele kichwan zilie,afu kayapata gaflaa tu,ila siyo mchoyo ukimuomba hela ila sasa anatoa hela saa 12 jioni tu,tofauti na mda huo hakupi
Mkuu,Kuna Uzi unasema atheist Wana matatizo ya akili, huamini mungu huamini pia ibilisi
Weka shuhuda mezani tujifunzekiukweli wengi huishia pabaya sana ninazo shuhuda kama mbili za watu wangu wa karibu hali zao ni mbaya sana.
tujitahidi kufanya kazi kwa bidii tutakapofikia ndio hapohapo japo kiukweli bado hatujatumia uwezo tulionao hata kwa 7%.
Ngoja naandaa facts kujibu maswali yakoMkuu,
Unaelewa kuwa, hata kama hoja yako ni kweli, kwamba atheists wana matatizo ya akili, hayo matatizo ya akili nayo yatakuwa ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
Unaelewa kwamba ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo, kimantiki, hauna ugonjwa wa akili wala ugonjwa mwingine wowote ule?
Hujanijibu maswali yangu kuhusu uchawi.
1. Uchawi ni nini?
2. Unajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine tu ambacho hukielewi?
Huwa wanafanya mapenz ndugu kwa ndugu wa damu wale ndio mana mazezeta wengiWale wenye rangi ya Mtume na Sharkani hata mimi nashangaa kila nyumba lazima ukute mtoto mwenye mtindio wa Ubongo au Bibi au Babu.
Hii sio co- incidence
Facts haziandaliwi, facts huziandai wewe, facts zipo tu.Ngoja naandaa facts kujibu maswali yako
1: Uchawi ni nguvu inayotumiwa na watu wenye maarifa maalum yasiyo ya kisayansi.Mkuu,
Unaelewa kuwa, hata kama hoja yako ni kweli, kwamba atheists wana matatizo ya akili, hayo matatizo ya akili nayo yatakuwa ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
Unaelewa kwamba ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo, kimantiki, hauna ugonjwa wa akili wala ugonjwa mwingine wowote ule?
Hujanijibu maswali yangu kuhusu uchawi.
1. Uchawi ni nini?
2. Unajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine tu ambacho hukielewi?
Ndio ivyo dunia ina mambo yake[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Muda ni wa kuzingatia hapo nimecheka