Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Nilishangaa wasomi wengi wanaotegemea Elimu pekee kwann hawafanikiwi kivile... Kumbe Kuna wajomba wapo kublock na kuvuruga mipango za watu na kutumia maisha ya watu kujinufaisha wao.
Hii inatumika sana hapa town. Unakuta mtu ana maendeleo makubwa na utajiri ila kampiga pin mtu kwa kuchukua nyota yake. Na ndio maana either uwe kwa Mungu au kwa shetani. Hakuna in between.
 
Ni kweli kabisa Hilo lipo wazi
 
Ukifanikiwa hutakiwi kupata hata msiba. Uki fiwa tu waja wanasema umetoa kafara.
 
😲😲😲😲 Ndo wakina mwamposa awa
 
Huwa nikisikiaga hii nachoka sana aisee
 
Sidhani kama Kuna nchi inakosa uchawi
 
[emoji33][emoji33]Hapa panahitaji maelezo mapana kidogo kaka mkubwa hebu fafanua Kwa manufaa ya wote
Chuma ulete ina limitations... Inakupa mahitaji muhimu tuu. Pesa yake huwezi hata kununua nguo nzuri sana sana utaishia malonya kwakuwa ukichuma sana kwa siku ni mwekundu na kuipata tena hiyo inaweza kukuchukua mpaka siku 14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…