Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Sio rahisi kama unavofikiria utamkimbiza kutoka wapi kwenda wapi na huo muda unapata wapi😀😀
Mkuu kwa sababu tayari tuna teckiniki kama hizi tunazopeane, mtu ukienda kwa sangoma na akamleta huyo kuchi, ile anamweka chini unafanya yako ili akimbie na kuanza kutimua mbio ili akirudi kumbe una yako!.
 
Pesa ya masharti huwa haina raha, nna jamaa yangu yupo DRC alishanishirikisha maswala hayo sharti ni kutoa jicho, nikakataa. Nilikutana na mama yake anasema mwanae anaogopa hata kurudi Tz sijui kwa nini. Ila inasemekana jamaa ni shoga kwa sasa.
 
Unapoambiwa nguvu za giza ni changamoto sana kutolea ufafanuzi,usemalo ni kweli ila vijana wengi wanaingia ktk mtego wa ulozi kwa uvivu au kutafuta short cut ya maisha,maisha ni mapambano na tuamini ktk kufanya kazi kwa bidii huku tukiweka mbele uaminifu kwa wanaotuzunguka
 
Ni kweli ila who cares?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…