Aise Kuna mmoja kafara ilidunda alihaha sana aliambiwa amtoe mume wake Sasa mume wake nae wa moto akili ziliruka tu ila hajafa mpaka leoNdio hvyo, watu wanatoa wake zao, wengine wanazaa na mabinti zao kabisa yote sababu ya mali.
Sio kuwaza mbali tatizo wewe sharti ulilochagua ndilo litakalokuja kuwa chanzo cha kuteteleka kwako au majuto yako,hv ulisoma ule mkasa wa Ally Mpemba wa ,UMUGHAKA ebu tizama yale masharti wewe ungeyaweza? Hauwezi kung'olewa pumbu then uwe unafanya kama kawaida never! Utakachotolewa ndicho wakati wa mafanikio yako kitakuwa kiu yako mfano leo unawaona watoto ni mzigo utakapokuwa na mali utawish ukae na wanao muinjoy life sasa kizalishio kishatolewa utafanyaje na hata km ulikuwa nao before ndio kinatengenezwa kibuyu unabaki mwenyewe na utajiri unakuwa pambo tu hauna furaha naoMbona kama umewaza mbali sana kwani hio ajali itasubiri hadi niume korodani yangu ndio itokee? tunatishana bhana!!!
🤔🤔🤔Hivi huyu mwamba ameoa kweli?Music industry kwa ujumla.
Ukianzia mambele tena wanawekaga wazi kwenye lyrics zao na Huwa hatustuki.
Mfano Eminem akimpitia demu hawi mzima anaenda kuwa lesbian na hii ni Moja ya SadakA yaan kumjoin mtu kwenye ushetani
Ukifanikiwa kidogo watu huwa wanaamua kukutengenezea stori ambayo hujawahi kuiishi
Hasa hizi biashara za usafirishaji huwa kuna changamoto nyingi sana unajitahidi uiweke gari kwenye hali nzuri na marekebisho ya mara kwa mara unafunga tairi mpya ila zinapasuka gari inaanguka inaua watu Unaambiwa umetoa kafara.
Unapambana had na madereva wako unawaambia hutaki gari zako zikimbie, zifate utaratibu na Sheria za barabarani hutaki ligi ila unakuja kusikia bus imegongana uso kwa uso na imeua watu 9 na wafanyakazi wote waliokua wamekaa mbele na chanzo Cha ajali ni Lori lililo overtake bila tahadhari ila stori itatengenezwa kuwa mmliki wa bus ndo umetoa kafara
Mkuu basi yaishe 🤣🤣🤣Hauwezi kung'olewa pumbu then uwe unafanya kama kawaida never!
Ndo nilikua najaribu kumuelekeza ndugu yangu hawezi kushindana na ibilisi Kwa Hila😲😲Sio kuwaza mbali tatizo wewe sharti ulilochagua ndilo litakalokuja kuwa chanzo cha kuteteleka kwako au majuto yako,hv ulisoma ule mkasa wa Ally Mpemba wa ,UMUGHAKA ebu tizama yale masharti wewe ungeyaweza? Hauwezi kung'olewa pumbu then uwe unafanya kama kawaida never! Utakachotolewa ndicho wakati wa mafanikio yako kitakuwa kiu yako mfano leo unawaona watoto ni mzigo utakapokuwa na mali utawish ukae na wanao muinjoy life sasa kizalishio kishatolewa utafanyaje na hata km ulikuwa nao before ndio kinatengenezwa kibuyu unabaki mwenyewe na utajiri unakuwa pambo tu hauna furaha nao
Lazima dishi liyumbe famasihala niniAise Kuna mmoja kafara ilidunda alihaha sana aliambiwa amtoe mume wake Sasa mume wake nae wa moto akili ziliruka tu ila hajafa mpaka leo
Hao ulionao hata kama ni 10 litatengenezwa tukio mfano mnaenda ktk tukio la lazima labda safari ya mkoani,kuzika,harusini au vyovyote vile linatengenezwa buyu tena unapumbazwa usiweke tahadhari hadi baada ya tukioWatoto wanatosha shavi nimechoka kutumia kondomu kuepuka momba zisizotarajiwa 😎 😎
Aoe Marshal, aaah wapi.🤔🤔🤔Hivi huyu mwamba ameoa kweli?
Wanateketea wote ili mradi wewe uishi Kwa msoto usifurahie Mali zakoHao ulionao hata kama ni 10 litatengenezwa tukio mfano mnaenda ktk tukio la lazima labda safari ya mkoani,kuzika,harusini au vyovyote vile linatengenezwa buyu tena unapumbazwa usiweke tahadhari hadi baada ya tukio
Wakaachana?Sasa jamaa alivopona biashara ikaisha apo apo na mke wake
Nimetubu mzee baba, ila toa hio avatarUsijaribu kutoa pumbu ndugu yangu😀😀 toa kitu kingn
chini ya kapeti inasemekana dogo anampelekea moto bi mkubwaUnamzungumzia yule msanii wa bongo flavour nini mkuu?
Hayo yote uliyoyaandika hapo umesimuliwa , hakuna hata moja ulilolishuhudia kwa macho yakoTembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja[emoji3] neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
[emoji117]Utajiri wa Shilingi: Hapa unapewa coin inakuwa inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo) hapa utaanza na kafara za kuku mwisho damu itahitajila
[emoji117]Utajiri wa nyoka: Hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
[emoji117]Utajiri wa kafara: Huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova. Au mtu anafunga ofisi au taasisi halafu watumishi ndo wanateketea.
[emoji117]Utajiri wa kidonda: Hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
[emoji117]Utajiri wa kupunguzwa nguvu: Hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi, unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
[emoji117]Misukule: Hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
[emoji117]Utajiri wa punje: Hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
[emoji117]Utajiri wa Chuma ulete: Huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka[emoji1787][emoji1787].
[emoji117]Utajiri wa kafara ya ndugu wa damu unaempenda: Hapa utake utamtoa usitake utamtoa ama ufe wewe[emoji3][emoji3] ibilisi anakuchagulia
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri.
Nawasilisha.