Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,123
Aise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?
kulala uchi safi sana .. ila kwa mwanaume duh sishauri
Hiyo ni kawaida Yangu sio muda wa kulala tu, nikiwa nyumbani napenda kukaa uchi
How ironic?!
Kwani kuna sehemu amesema ni lazima??
Hiii nayo inakinaisha,mara moja moja kuvuliwa chupi kuna raha yake,labda anashindwa tu kukwambia
Ongeza huku Mfindi, Mkuu.Aise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?
Aise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?
Una maana tano au.....bold. Pia hata ushauri wa kuvaa haishauriwi kuvaa nguo ya kubana mwili.Hivi wenzetu mna guarantee gani na usiku? Sijui ka umewahi kumwona mtu aliyefumaniwa akiwa uchi? Inaleta hata huruma.
Usiku una mambo yake, ukivamiwa, nyumba ikiungua moto, mtoto akilia ghafla usiku tena kilio kikali ikiwa amepatwa jinamizi.
Ushauri wangu, huyo mshauri ni huko kwao, hata madirisha hayana grill. Hapa bongo usijaribu. Mdada vaa hata skin tight 5 usiku. Aheri utembee bila kufuli mchana kuiko kulala bila skin tight 5.
Kama ni mwanaume, usisahau bukta hata baada ya mechi. Za asubuhi utoe tuu
dah mlisevu sana huyoChalii angu mmoja aliwahi lewa Sana kiasi cha kushidwa kuja job. Sasa mie na bosi tukamfuatilia maana alikuwa na baadhi ya vifaa hitajika.
Tulipofika ilibidi nichungulie kwanza dirishani. Na alikuwa mtupu aibu yaani. Wa kibao akiwamo mama mwenye nyumba alikuwapo wakiwa na lengo la kuvunja mlango, ilibidi nitumie busara kuwaomba waondoke nibaki mwenyewe ili nivunje na kuyasitiri maungo yake.
yaan mbaya zaidi uwaambie hela huna lazima wale kibogaHata majambazi wakivamia usiku nyumbani kwako..wakufume uchi???lazima wafumue marinda
aah kama huna nguo ndo unawatamanisha hata kama walikuwa hawana mpango na wewe,naskia nao pia wana tamaa kama sisiHa ha ha ha hata ukiwa na nguo s wanajua hawaonekani wanakisevia tu