Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #201
Hata wanawake wenyewe wanamchora tu. Hakuna mwanamke mwenye nia njema na mahusiano/ndoa yake anaweza kutumia miongozo ya jadaa.Sasa hapo mwenzako anajiona bonge la shujaa anayepigania masilahi ya wanawake.πππ
Kubishana na mtu mwenye akili za hivi ni kupoteza muda na nguvu,kwamba mwanaume hata aweke ronya la aina gani ndani bora kama ana hela basi huyo ana heshima.Tatizo lako uelewa mdogo ndio maana umeshindwa kutambua hoja yangu hapa kinacholinganishwa ni pesa za mwanaume vs aina ya mwanamke anayeolewa na mwanaume, ndio maana nimevitenganisha hivyo vitu ili tuone heshima itaenda wapi sababu kipaumbele cha kwanza cha mwanaume ni heshima, kwahiyo wewe unavyoona kwenye jamii yetu mwanaume masikini akioa bikira ndio ataheshimika kuliko mwanaume tajiri akiona single mother
Huyo ni bibi tayari hamna hamna mileage inasoma 43 na body count za kutosha mixer watoto wawili wasiojulikana baba zao.Namuonea huruma sana mwanaume atakayeamua kujifunga kifungo kimoja na huyu binti endapo bado akawa na akili hizi.
Una argue kitoto toto sana,unaitafsiri vipi heshima ktk uhalisia wa maisha ya kifamilia kwa ujumla?Mkuu tunaongelea heshima kwa ujumla heshima ni heshima tu sidhani kama ina categories, wewe ulisikia wapi mwanaume anapewa heshima kisa kaoa mwanamke bora, ni kipi wanachofanyiwa hao wanaume hadi utafsiri kuwa ni heshima wanapewa
Unaponiuliza mtu kama mimi swali ulilomuuliza mwenzangu hapo mi nitakujibu simply kuwa Azizi Ki nimemzidi manhood na exposure ya mahusiano..Wewe una kipi cha kumzidi aziz ki tuanzie hapo kwanza, na siyo aziz ki tu kuna wanaume wengi tu wenye heshima zao wanaoa masingle mother, wewe una kipi cha kuwazidi wanaume wa aina hiyo
Hawa ni damaged women, ukifawafatilia tangu wameingia kwenye dating pool rekodi zao zina makando kando kwaiyo kupitia hili sakata la Azizi na Hamisa wamepata case study ya kutetea reckless past zao. Azizi kii lazima atalindwa sana na hawa retired and undercover prostitutes kwa sababu ni kundi la wanaume wapumbavu ambao hawa wakina dada wanawatumiaga kama retirement plan.Wanawake wanaitazama ndoa ya Azizi Ki na Mobeto na kuitolea mfano wakati haijapiga hatua hata ya mwaka.
Hawa ndo nawapenda kusuuza rungu na kupiga chiniToxic Phase ndiyo kipindi anapatikana kwa urahisi mno akiwa mkweli na kutoa mbunye kwa roho safi.. Moyoni mwake anajisemea liwalo na liwe..
Sasa hapo mwenzako anajiona bonge la shujaa anayepigania masilahi ya wanawake.πππ
Nafikiri ni mtu ambae bado hayupo ndani ya ndoa na umri umeenda, kwahiyo ni kama kuna namna amekata tamaa na maisha ya mahusiano hasa kuhusu wanaume.
Masikini ona yanavyofarijiana mnatamani sana hayo mnayoyasema kuhusu mimi yawe ya ukweli, hata mimi bora niwe single kuliko kuwa na mwanaume mpumbavu au mnadhani wanaume wote huku nje wana stress kama ninyi, hebu poneni kwanza hayo maumivu mliyonayo kuwa toxic kwa wanawake haiwasaidii mnazidi kujiumiza tuHakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuoa hicho kifurushi.
Wewe ni msimbe na hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuoa mtu kama wewe. Hata wanawake wenzako wanakusoma tu(na wanaweza kukuunga mkono wakiwa nyuma ya keyboard) lakini ukija kwenye uhalisia hawawezi kufanyia kazi unayaandika kwa sababu wanazipenda ndoa zao na wajua kimaadili mwanamke wa kiafrika anapaswa kucheza role ipi kwenye ndoa/mahusiano.Masikini ona yanavyofarijiana mnatamani sana hayo mnayoyasema kuhusu mimi yawe ya ukweli, hata mimi bora niwe single kuliko kuwa na mwanaume mpumbavu au mnadhani wanaume wote huku nje wana stress kama ninyi, hebu poneni kwanza hayo maumivu mliyonayo kuwa toxic kwa wanawake haiwasaidii mnazidi kujiumiza tu
Sasa kwani jamii inajudge vipi utofauti kati ya single mother na mwanamke asiye na mtoto kama siyo kupitia ndoaKubishana na mtu mwenye akili za hivi ni kupoteza muda na nguvu,kwamba mwanaume hata aweke ronya la aina gani ndani bora kama ana hela basi huyo ana heshima.
Single mamaz mnajua sana kujifariji,ukiolewa na tajiri (na kwanza wangapi mnaoolewa na hao matajiri?) unajifananisha na mwanamke aliyeolewa hana mtoto kwa kuangalia hali ya mumewe.
Jibu swali acha kuzunguka ni matendo gani anayofanyiwa mwanaume aliyeoa mwanamke bikira ambayo wewe unatafsiri kama ndio heshima, wanaume wenye pesa tunaona jinsi wanavyokuwa appreciated kwa namna mbalimbali kwenye jamii, ila sijawahi kuona wanaume waliooa mabikira wanakuwa appreciated na mtu yeyote kwanza hata huku mitaani hatuwasikii kabisaUna argue kitoto toto sana,unaitafsiri vipi heshima ktk uhalisia wa maisha ya kifamilia kwa ujumla?
Wanawake wanaitolea mfano hiyo ndoa sababu wanaume huwa mnawatolea mifano wanawake aina ya hamisa kuwa hawaolewi, so inapotokea wanaolewa ndipo wanawake wanapoibuka na kuwaprove wrong kuwa maneno yenu hayana ukweli bali mna agenda zenu tu binafsi, na ndio maana hii ndoa imewachukiza wanaume wengi kwa kuona kwamba wale wanaowatolea mifano kuwa hawaolewi ndio hao wanaolewa mwisho wa siku wanahamia kuwatukana wanaume wenzao wanaooa hao wanawakeUnaponiuliza mtu kama mimi swali ulilomuuliza mwenzangu hapo mi nitakujibu simply kuwa Azizi Ki nimemzidi manhood na exposure ya mahusiano..
Maana yeye kwanza kwangu ni mdogo kuanzia maisha mpaka umri..
Yeye kaoa juzi mi nilifanya hivyo eleven years ago
So hapo wewe mwenyewe utaona..
Pili Azizi Ki ni mchezaji na maarufu pia ameona awe na staa wa kike mwenye influence kubwa kwa malaya wengine!!
Tactically hii ni attractive factor ili kesho iwe rahisi kumpata malaya mwingine wa level ile ile wa Kutafuna na kupita hivi..
Wanawake wanaitazama ndoa ya Azizi Ki na Mobeto na kuitolea mfano wakati haijapiga hatua hata ya mwaka.
Hatuachi kuwatukana maana amefanya uzembe mkubwa sana tu..Wanawake wanaitolea mfano hiyo ndoa sababu wanaume huwa mnawatolea mifano wanawake aina ya hamisa kuwa hawaolewi, so inapotokea wanaolewa ndipo wanawake wanapoibuka na kuwaprove wrong kuwa maneno yenu hayana ukweli bali mna agenda zenu tu binafsi, na ndio maana hii ndoa imewachukiza wanaume wengi kwa kuona kwamba wale wanaowatolea mifano kuwa hawaolewi ndio hao wanaolewa mwisho wa siku wanahamia kuwatukana wanaume wenzao wanaooa hao wanawake
Hahaha sasa wangekuwa wanaplay roles zao kwenye hizo ndoa si zingekuwa hazivunjiki kila siku tunasikia milio ya wanaume kwenye ndoa halafu mnakuja kutusingizia sisi kwamba ndio tunawaharibu wanawake wenzetu oh please give me a break, ukweli ni kwamba wanawake wamechoka kuwa watumwa wa propaganda za wanaume na hamkutegemea haya ndio maana mayowe kila mahali, wewe ukiniita mimi msimbe hainiumi kwa sababu najijua mimi siyo msimbe zaidi sana nakuona kama ni wewe ndio una stress na unatafuta tu namna ya kujifariji kwa umasikini wako hadi kuwa marioo na kudangia mishangazi..pathetic!!Wewe ni msimbe na hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuoa mtu kama wewe. Hata wanawake wenzako wanakusoma tu(na wanaweza kukuunga mkono wakiwa nyuma ya keyboard) lakini ukija kwenye uhalisia hawawezi kufanyia kazi unayaandika kwa sababu wanazipenda ndoa zao na wajua kimaadili mwanamke wa kiafrika anapaswa kucheza role ipi kwenye ndoa/mahusiano.
Jadda huwa unalopoka bila kufanya utafiti wa kutosha. Embu fuatilia kauli ya mama Azizi anasemaje kuhusu hili sakata.Wanawake wanaitolea mfano hiyo ndoa sababu wanaume huwa mnawatolea mifano wanawake aina ya hamisa kuwa hawaolewi, so inapotokea wanaolewa ndipo wanawake wanapoibuka na kuwaprove wrong kuwa maneno yenu hayana ukweli bali mna agenda zenu tu binafsi, na ndio maana hii ndoa imewachukiza wanaume wengi kwa kuona kwamba wale wanaowatolea mifano kuwa hawaolewi ndio hao wanaolewa mwisho wa siku wanahamia kuwatukana wanaume wenzao wanaooa hao wanawake
Wewe ni msimbe unaishi na trauma na hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza ku-settle na mwanamke kama wewe. Kwanza inawezekana ukawa upinde wewe, sio mwanamke kama wengi wanavyofikiriaHahaha sasa wangekuwa wanaplay roles zao kwenye hizo ndoa si zingekuwa hazivunjiki kila siku tunasikia milio ya wanaume kwenye ndoa halafu mnakuja kutusingizia sisi kwamba ndio tunawaharibu wanawake wenzetu oh please give me a break, ukweli ni kwamba wanawake wamechoka kuwa watumwa wa propaganda za wanaume na hamkutegemea haya ndio maana mayowe kila mahali, wewe ukiniita mimi msimbe hainiumi kwa sababu najijua mimi siyo msimbe zaidi sana nakuona kama ni wewe ndio una stress na unatafuta tu namna ya kujifariji kwa umasikini wako hadi kufikia hatua ya kuwa marioo na kudangia mishangazi..pathetic!!
Sawa endeleeni kuwatukana labda ndio njia inayowasaidia kupunguza hasira zenu juu ya wanawake na kuwafanya mjisikie vizuriHatuachi kuwatukana maana amefanya uzembe mkubwa sana tu..
Wewe ndiye ambaye hujafanya utafiti mimi hiyo ishu nimeisikia na aziz ameshajibu kuwa yeye hana wazazi wote walishafariki, na hata kama mama yake angechukizwa na uamuzi huo je ndio inamaanisha huo uamuzi ni mbaya, ni wazazi wangapi hawapendi watoto wao wafanye kazi fulani mfano uaskari au ukuli, je ina maana hizo kazi ni mbaya kisa kuna wazazi wanazichukia, mna uwezo mdogo wa kujenga hoja na kupambanua mambo ndio maana mnaropoka tu bila kufikiria kwa kina na mapanaJadda huwa unalopoka bila kufanya utafiti wa kutosha. Embu fuatilia kauli ya mama Azizi anasemaje kuhusu hili sakata.
Acha kulazimisha kila mtu awe na hali kama yako we pambana tu na hali yakoWewe ni msimbe unaishi na trauma na hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza ku-settle na mwanamke kama wewe
hakuna alielazimisha wewe ni msimbe na trauma unazoishi nazo ndizo zimeijenga iyo mentality.Acha kulazimisha kila mtu awe na hali kama yako we pambana tu na hali yako
Ni kwa sababu huwajui wanawake ndio maana unasema hivyo ila mimi ninayewajua wanawake nasema rudi darasani, bado una mengi ya kujifunza kuhusu wanawake sisi wengine tunajifunza kwa waliotuzunguka hatusubiri yatukute, ndio shida mwanaume ukishakuwa unadangia mishangazi huwezi kuwa na akili timamu hata siku mojahakuna alielazimisha wewe ni msimbe na trauma unazoishi nazo ndizo zimeijenga iyo mentality.
Hakuna young, feminine and innocent woman anaweza kuwa na mentality kama yako.
Yaani wewe msimbe ndio unataka kutufundisha kuhusu wanawake.! Watu tumeoa na tuna familia ambayo ipo kwenye mstari halafu msimbe mmoja ndo uibuke from norwhere utupe somo la kuishi na mwanamke.! Ungekua umebobea kwenye suala la mahusiano kwa umri wako ungekua na ndoa sahivi.Ni kwa sababu huwajui wanawake ndio maana unasema hivyo ila mimi ninayewajua wanawake nasema rudi darasani, bado una mengi ya kujifunza kuhusu wanawake sisi wengine tunajifunza kwa waliotuzunguka hatusubiri yatukute, ndio shida mwanaume ukishakuwa unadangia mishangazi huwezi kuwa na akili timamu hata siku moja