Zijue mascara na namna ya kupaka





hahaha bimafs mie hata kbl sijaolewa sijawah kupendeza nivutie mwanamume !yaan mie hata km nna masizi uson huwa natongozwaga tu hata niende shamba natongozwa tu na jssho langu ! ni kweli unakuwa na moody nzur tu !pole zenu sana nyie wanaume!

yes my dear nna safari babu kubwa ! hahahaa nitakuletea hata kabikin mweeeeeeeee!au ka bra kadhuri dhuri!hao usiwaambie kbsss
 
hahahahah naenda kuposwa upyaaaaaaaaaaa! hahahahahhaah chezea wewe !hv najifunza grammar mama! hahaha past tense ,past participle,future et al! tunalia lia humu weee kumbe tunadai bado kumbe !ngj nikatolewe mahari mie hahahah
Kabla ya kutolewa mahari ya pili hakikisha ya kwanza umerudisha . au ulichukuliwa kwa mkopo kama naniliuu? [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…