MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Nashindwa kuelewa Kwa nini huwa wanadhani mtu unataka kupendeza kwa ajili yao tu.
Mtu akijiweka vizuri hata anajisikia vizuri na kuwaza mazuri.
Basically, kupendeza lift up the mood.
Hahaha!, gaal!, mwisho kuvaa beach wear lini! [emoji2]
Again, all the best na safari! [emoji12]
Naomba dhawadi ya perfume, isiwe Pampula tyuu...lol
Halafu usiwaambie espy Heaven Sent na Neybright
Ntawapea ma empty bottles ikiisha..[emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha bimafs mie hata kbl sijaolewa sijawah kupendeza nivutie mwanamume !yaan mie hata km nna masizi uson huwa natongozwaga tu hata niende shamba natongozwa tu na jssho langu ! ni kweli unakuwa na moody nzur tu !pole zenu sana nyie wanaume!
yes my dear nna safari babu kubwa ! hahahaa nitakuletea hata kabikin mweeeeeeeee!au ka bra kadhuri dhuri!hao usiwaambie kbsss