Zijue mashine ambazo utazikuta Tanzania tu, Kenya hazipo

Kenya hakuna kitu bado mpo porini na 6th world tumewatangulia kwa everything you just back tailing by crawling
 
hahaha very useless thread, Kenya ina vitu vingi sana amabavyo haviko East Africa yote, hii ni mada ya kijinga sana.
Kenya mna kitu gani nyie electricity token usage sisi ni wa pili baada ya South Africa many years ago tumewafundisha sisi
 
kwa swala la korogwe kwenye Hotels wanafanya hivyo to save time coz wanajua wateja wao ni abiria so hawana muda mrefu wa kusubir huduma
 
Wewe nimekuweka kiporo tu. Tutakutana kwenye mitandao tu. Subiri, ulivyo tukashifu na kututukana watanzania kwenye mitandao. Lazima hii issue tumalizane. Siwezi kukubali hata kidogo. Mlikuwa mnashindana na Nigeria iweje ututukane sisi!?
Wewe nimekuweka kiporo tu. Tutakutana kwenye mitandao tu. Subiri, ulivyo tukashifu na kututukana watanzania kwenye mitandao. Lazima hii issue tumalizane. Siwezi kukubali hata kidogo. Mlikuwa mnashindana na Nigeria iweje ututukane sisi!?

What did u say on Nl about Tz that has gottenn this person to put u in her crosshairs, NairobiWalker?
 
It's just one of those boardroom projects. hadi sahii hamna lolote. Usishangae SGR yao ikienda vivyo hivyo. Heri hii yetu Na macorruption scandal zake ila imefanyika tunaiona kwa macho.
You pray day and night for your wishes to be reality but we are in the site busy for construction, eat that mvimba macho
 
Twawazidi Kenya kwa kuwa wajinnga wa ccm na kutoelewa kuwa ni ccm walituletea haya matatizo
 
For so what special wasting my time watching crawling babies crying louder for help, we are way far, I should at least focus to our counterpart SA instead maybe. Nyie njaa tupu kila kona no one wants to hear common lamentings.
Eiish, Omera a Djang'o is allergic to search schoolboy grammatical mistakes. I'll have to seek financial compensation for tearing my blind spot trying to decipher your juvenile rants full of stupor.
I mean, just writing a hot & sexy sentence without errors isn't like some Greek mythology.
Learn how to punctuate your wordings or better still, stick to your lane. Swahili!
 
A madman is a madman. It's in everyone's best interest to ignore them. I don't even know what he's talking about and I don't wanna know.


S/he should have confronted u right there and then and set her facts straight on that forum.

sasa kuja hapa kulialia.....
 
Duu sijakuelewa yaan unaongea kama vile umepandisha mashetani
 
Btw when Dan Damon of the BBC commences his show, World Update, which African capital after London & Washington does he mention next ?
 
camera ziko wapi hapo mbona hata hayo huku yapo mengi wewe vipi wewe bila shaka unatoka county ya mandela ndio maana unadhan hizo ni camera
 
wee mtoa mada ndio maana rais wa awamu ya tatu anatuita wapumbavu,hiyo habari yako number 2 huo ni wizi,hicho kifaa ingekuwa nchi zingine zinazofahamu sheria,kingekuwa na kesi mahakamani ili kupima kukubalika kwake,elewa kuwa ni sheria lazima mwendo wako uchukuliwe kutoka UMBALI unaokubalika kati yako na anayechukua hiyo speed yako,maana hawezi kuwa yupo mkwajuni yeye akakuchukua ukiwa njia panda ya kwenda mwananyamala,ni lazima uwe within 300meters,na pili kifaa hicho lazima kiwe na uwezo wa kupiga picha ya gari,number plate,na speed yako uliyokuwa nayo wakati unapigwa hiyo speed camera,muda,tarehe,na eneo la tukio hilo,na speed limit ya eneo lenyewe na lazima traffic waweke vibao vya kuwaonya madereva uwepo wa speed camera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…