Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hawa jamaa ni dhalimu kweli.Umeokoa Uzi wako dhidi ya mikono dhalimu ya mods
HahahahaaaaTanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.
Tanesco- hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganisshiwa umeme hawatakuomba hata sh 10, hata ikitokea Dewji na yeye anataka huduma watakusikilizq kwanza wewe wa kwanza halafu Dewji atawekwa foleni.
2. Idara za maji za mikoa tofauti tofauti- hawa Ni Kama tanesco- hawana shida kabisa.
3. Uhamiaji- ukienda kufuatilia pasi ya kusafiria, nakuhakikishia huwezi kutoa hata sumni, utapata huduma zako zote ndani ya muda na bila mazingra ya rushwa.
4: Traffic polisi- hawa huwa hawana mambo mengi Kama una kosa watakupga faini, Kama Haina kosa lolotewatakuachia. Hawezi kuchukua hela yako wala kukusingizia kosa lolote, nawapongeza kwa hilo.
Wakuu ipi taasisi ambayo umewahi kupata huduma bila kutoa rushwa kabisa. Tuwapongeze.
Ndiyo Ukweli WenyeweHii ni habari ya Kushtua na inaweza kuleta Taharuki. Nasema uongo ndugu zangu?
Acha ufala mkuu ππππTanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.
Tanesco- hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganisshiwa umeme hawatakuomba hata sh 10, hata ikitokea Dewji na yeye anataka huduma watakusikilizq kwanza wewe wa kwanza halafu Dewji atawekwa foleni.
2. Idara za maji za mikoa tofauti tofauti- hawa Ni Kama tanesco- hawana shida kabisa.
3. Uhamiaji- ukienda kufuatilia pasi ya kusafiria, nakuhakikishia huwezi kutoa hata sumni, utapata huduma zako zote ndani ya muda na bila mazingra ya rushwa.
4: Traffic polisi- hawa huwa hawana mambo mengi Kama una kosa watakupga faini, Kama Haina kosa lolotewatakuachia. Hawezi kuchukua hela yako wala kukusingizia kosa lolote, nawapongeza kwa hilo.
Wakuu ipi taasisi ambayo umewahi kupata huduma bila kutoa rushwa kabisa. Tuwapongeze.
Hao polisi traffic, ulitakiwa kuwaweka namba moja. Yaani hao askari wetu kwa kweli ni waaminifu sana. Yaani hawapokei kabisa rushwa!Tanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.
Tanesco- hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganisshiwa umeme hawatakuomba hata sh 10, hata ikitokea Dewji na yeye anataka huduma watakusikilizq kwanza wewe wa kwanza halafu Dewji atawekwa foleni.
2. Idara za maji za mikoa tofauti tofauti- hawa Ni Kama tanesco- hawana shida kabisa.
3. Uhamiaji- ukienda kufuatilia pasi ya kusafiria, nakuhakikishia huwezi kutoa hata sumni, utapata huduma zako zote ndani ya muda na bila mazingra ya rushwa.
4: Traffic polisi- hawa huwa hawana mambo mengi Kama una kosa watakupga faini, Kama Haina kosa lolotewatakuachia. Hawezi kuchukua hela yako wala kukusingizia kosa lolote, nawapongeza kwa hilo.
Wakuu ipi taasisi ambayo umewahi kupata huduma bila kutoa rushwa kabisa. Tuwapongeze.
Ikulu. Ngorongoro inaenda kwa waarabu kama kumsukuma mlevi vile!Tanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.
Tanesco- hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganisshiwa umeme hawatakuomba hata sh 10, hata ikitokea Dewji na yeye anataka huduma watakusikilizq kwanza wewe wa kwanza halafu Dewji atawekwa foleni.
2. Idara za maji za mikoa tofauti tofauti- hawa Ni Kama tanesco- hawana shida kabisa.
3. Uhamiaji- ukienda kufuatilia pasi ya kusafiria, nakuhakikishia huwezi kutoa hata sumni, utapata huduma zako zote ndani ya muda na bila mazingra ya rushwa.
4: Traffic polisi- hawa huwa hawana mambo mengi Kama una kosa watakupga faini, Kama Haina kosa lolotewatakuachia. Hawezi kuchukua hela yako wala kukusingizia kosa lolote, nawapongeza kwa hilo.
Wakuu ipi taasisi ambayo umewahi kupata huduma bila kutoa rushwa kabisa. Tuwapongeze.
Hao na wenyewe wako njema sana
ππππ! Unaongea kama vizee vya zamani.Tanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.