Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Nyie hao uliowataja mtakuwa nao lini ili mshinde? Nadhani hamna haja hata ya kuwasumbua wananchi kama hamuamini ushindi bila hao.
 
Hakuna kitu kibaya kama kutumia Polisiccm mahakamaccm vibaya, kero namba moja kwa watanzania ni Tabia mbovu ya kuwabambikia kesi wafanyabiashara kutumia TRA kubambikiwa kodi kubwa kupewa kesi za uhujumu uchumi kuporwa pesa na mali zao kwa visingizio vya kutengeneza ili kuwakomoa, watu wana machungu na zile trilion 1.5 zimepigwa na CCM kisha wakamtoa CAG kafara, kuna ufisadi mwingi wa kutisha kwenye utawala huu wa kunyamazisha watu kuzuia uhuru wa vyombo vya habari na kufanya mikutano ya siasa kwa vyama vya upinzani.
 
Nyie hao uliowataja mtakuwa nao lini ili mshinde? Nadhani hamna haja hata ya kuwasumbua wananchi kama hamuamini ushindi bila hao.
Wapinzani wanashinda bila msaada wa Tumeccm kwani malaika toka mbinguni atawafunga kamba na kuwaduwaza ushetani wa CCM mpaka kura zikihesabiwa zote na Lisu kuingia ikulu ndipo watazinduka na kuendelea na ushetani wao
 
TBCCCM wanalipwa mishahara kwa pesa za walipa kodi wote cha ajabu sasa ni chombo binafsi cha CCM
 
Wapinzani wangapi wametangazwa kaka? Halafu kama tume haiko huru na itawatangaza wagombea wa CCM ni kwanini wapinzani wanashiriki uchaguzi huu? Simngeugomea?
Hakuna fair play kwenye uchaguzi huu kwani membe kaporwa pesa zote kafungiwa A/C zake zote na za ndugu zake na rafiki zake kila anayewasiliana nae anachunguzwa saa 24, uchaguzi umegeuka kuwa kero ya kuwatesa wagombea.
 
'We have no blazaz...Africa should move on their own... he's there to save thebploblemz of our people'
 
Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuchagua jitu katili namna hii
Pia sidhani kama kuna mtu ambae ana mapungufu kama mwanaume na anataka apewe haki yake kwa mapungufu hayo amabyo ni dhambi kwa mwenyezi mungu, namaanisha shg
Hawawezi kumpigia Dr JPM
Ila tutampigia sisi wanaume lijari na atakuwa mshindi kwa %90
 
10% ya babu yako?
 
Kaka hakuna anaelazimishwa kwenda kwenye mikutano Ila sio dhambi wadau kuwaandalia watu usafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…