Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #81
Labda mafisadi na wezi wa matopeHao wanaojielewa ndio hawa wafuatao
[emoji117]Watetezi wa matumbo yao
[emoji117]Wezi
[emoji117]Mafisadi
[emoji117]Wazee wakujipendekeza
[emoji117]Wasio na uchungu kwa taifa hili
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Wa madini na utajiri wa taifa hili.Labda mafisadi na wezi wa matope
Narejea tena Magu hawezi kushinda uchaguzi wa huru na wahaki. Ndio maana kila leo mnatumia nguvu kubwa ya kuwatumia policcm na neccm ili ashinde, kinyume chake bila ya kutumia hivyo vyombo na figisu nyengien hashindi wallah hashindi na hatashinda. Nakuapia.Rudia hii post baada ya tar 28
Ushindi tayari tunao ila tunataka wa kishindo.Labda kwa usaidizi wa policcm na neccm kinyume chake atarudi chato akachunge Punda.View attachment 1594780
Mwizi ai fisadi anayempenda Magufuli's bado hajazaliwaHao wanaojielewa ndio hawa wafuatao
[emoji117]Watetezi wa matumbo yao
[emoji117]Wezi
[emoji117]Mafisadi
[emoji117]Wazee wakujipendekeza
[emoji117]Wasio na uchungu kwa taifa hili
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Hongera sanaMimi nagombea udiwani CHADEMA
ila sipigi kampeini raia wamenitaka nikae kwa kutulia nishashinda yaani CHADEMA raha sana
Acha ushamba mlishakaririshwa mwaka huu sio ccm tena bali lissu ndio Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,we bweteka na magufuliZimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda.
Watu hawa wanashindana ili kutimiza wajibu. Magufuli hata angeamua kupunga tuu mkono, bado angepita kwa kishindo kutokana na mambo aliyowatendea watanzania. Kama wapinzani watapata walau wabunge 20 basi wakifika bungeni safari hii wabadilike, wafanye kazi kwa naslahi ya wananchi.
Viva Magufuli Viva
Amani Msumari
Tanga
Mimi nimempigia simu kumshauri akae kwa kutulia kwani ni kweli kuwa atashinda, hakika atashinda na njaa. Sijaona Kama nachunguzwaHakuna fair play kwenye uchaguzi huu kwani membe kaporwa pesa zote kafungiwa A/C zake zote na za ndugu zake na rafiki zake kila anayewasiliana nae anachunguzwa saa 24, uchaguzi umegeuka kuwa kero ya kuwatesa wagombea.
Uje kuirudia hii post yako baada ya tar 28Acha ushamba mlishakaririshwa mwaka huu sio ccm tena bali lissu ndio Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,we bweteka na magufuli
Basi sawaakishinda kihalali sawa, la sivyo patachimbika Lissu huwa hakubali kuonewa
Her uyo kwema lakini ID yangu pia hii"Her" kumbe ni she na sio he
tatizo mnapenda vya bure brere hakuna fanya kazi utajenga tu jpm juu kafundisha watanzania kujitegemea sana BigupMaajabu ya kupanda kwa vitu, Leo mabati bei juu, saruji 21,000 toka 13500 ya kikwete, no increment wala mishahara mipya, vizuri
Humu pia mods watamtetea.. Angeenda kule twitter akaandika huo upuuzi wake then aone nini kingetokeakila anayetamani kutukanwa jukwaani hasa jf, anatakiwa kuwa na maono yako, umejiandaa?
tatizo mnapenda vya bure brere hakuna fanya kazi utajenga tu jpm juu kafundisha watanzania kujitegemea sana Bigup
Huku Kwetu Kuko hivi, Vipi Huko Kwenu?Umesema upo Tanga .
Labda uanze kutuambia kuwa amedanya nini Tanga ambacho kimeinua maisha ya watu?
Kama ni viwanda bado hajafikia hata robo ya vile alivyoacha Mtawala wa kwanza yaani mkoloni.
Tanga ni kati ya mikoa yenye utajiri mkubwa sana wa mali asili lakini hakuna miundo Mbinu bora zaidi ya barabara kuu zilizojengwa tangu uhuru na nyingine awamu ya tatu na nne.
Kila siku ni uzinduzi tu , Hela zinazokusanywa kwenye jiji na halmashauri zote zimepelekwa kununua ndege nane Cash. Yaani unachukua pesa za maskini unaenda kununua ndege Cash kwa Mabilionea wa Dunia badala ya kukopa ulipe kibiashara. Hapo lilichokua kinatafutwa ni 10% . Jiulize ni kwa nini watawala wapo tayari kuua hata maelfu ya watu ili wasalie madarakani. Ni binadamu gani asiyeogopa dhambi ya kuua?
Jibu ni jepesi wanalinda mali zao wanazojua wazi akija mpenda haki wataulizwa walizipataje kwenye nchi maskini kama hii yenye madeni makubwa hukuo kwa mabeberu.
Hizo mali wanamkusanyia nani wakati wanasema asiyefanya kazi asile? Je,hao wajukuu wao wanawawekea mali kila kona ya nchi wakati hata hawajazaliwa wameshafanya kazi wapi ili wakute hizo mali wanalimbikiza.
Mimi kwa kweli siwezi kumdhuru mtanzania mwenzangu ili tu hawa mabilionea wa CCM waendelee kula kodi na kujilimbikizia mali
Yani mtu akawadhulumu Wazanzibari kwa sababu ya kumtafutia Huseni Mwinyi urais ambao alikua nao Baba yake na wamechuma mali kupitia madaraka na kodi za watanzania mpaka wamelewa mali !! Itakua ni dhambi kubwa sana kuiba kura kwenye uchaguzi wa Zanzibar na hata wa Bara kuiba kura ili JPM aliyekaa kwenye uwaziri miaka 20 na Urais miaka 5 ili tu aendelee kuwakalia watu waliomkataa. Hata Shetani atatucheka kuwa hivi hawa wanataka Mali za nchi zote ziende kwa watu wale wale halafu wanalalamika maisha ni magumu.
Weka mbunge akizingua piga chini achukue pesa zake akafanye biashara sio kuhonga wapiga kura kama wanavyoanya CCM.
Chagua Rais akizingua na kujifanya nchi ni mali yake na kuendekeza ukabila ,piga chini atumie pesheni na Kiinwa mgongo chake akawekeze sio kuzunguka mitaani na mamifuko ya pesa kugawia watu ambao ungefungua hata shamba la kisasa wangepata ajira. Unagawa Pesa ili upate kura upate pesa za watanzania wanaokamuliwa kulipa kodi.
Magufuli au Lisu yeyote atakayeshinda kwa Haki anapaswa kutambua kuwa hii nchi sio mali yake.
CCM kupitia mifumo yake imewapa mamlaka watawala kuifanya nchi kuwa mali ya mtu binafsi ndio maana wanasema kuwa mukimpa nchi ataiuza. Ujinga huo haupaswi kuendelea ,eti mtu mmoja anaweza kujifungia chumbani na mke wake na kuweka mikataba ya kuuza au kununua nchi bila kuulizwa na mtu.
Mwaka huu wasimamizi wa uchaguzi ni lazima wasomewee Duwa maalumu sio kushila vitabu vya dini na kuapa kwenda kufanya uhuni ?
Na zaidi wale viongozi wa dini kama akina Shekhe Musa na Askofu Gwajima na Mkunde wajitokeze kwenda kuangalia uchaguzi kama ni wa haki au ni dhulma ili watu watakapokataa viongozi wasiochaguliwa wasije wakalaumu na kuanza kuimba nyimbo za amani bila Haki huku wezi wakiishi kwa raha Mustarehe na waliodhulumiwa wakiishia Gerezani. Hakuna haki hiyo Mbinguni na duniani. Mshahara wa dhambi ni mauti.
Sijawahi kumsikia kiongozi wa Tume wala Bashiru na Polepole wakizungumzia habari za Uchaguzi wa huru na wa Haki.
Wamebaki kutishia watu mabomu na risasi kama vile hayo marisasi yakishawaua hao watu yanaweza kuwatafutia mahali pema peponi au Jehanamu .
Yesu alisema msiogope watu wanaoua mwili tu lakini hawana wanaloweza kuamua juu ya roho zenu. Tukijua maana yake tutaishi kwa upendo ,haki ,utu na amani kwa watu wote.
Kinachowasumbua CCM ni ubinafsi tu na uroho wa madaraka ndio maana kila mtu anajipendekeza kwa Kuwaumiza wengine utafikiri hii nchi imeumbwa na makada wa CCM.
Uchaguzi 2020 - Tanga tuna jambo letu, Tanga imeamua, Tanga ni ya kijaniUmesema upo Tanga .

Sasa matusi ya nini wakati ndo ukweli huo.kila anayetamani kutukanwa jukwaani hasa jf, anatakiwa kuwa na maono yako, umejiandaa?