binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Sahihi aiseeIla lile jamaa kwa weight yake huenda helicopter ilikuwa overloaded ndo ikasababisha hitilafu mpaka hiyo crash π.
ππππIla wana JF, Mbinguni bila kutukiwa link hamtoboi.
Mnatuchekesha msibani π
RIP big man na others, Nilipanga niwe mke wa pili ππππ
Hii mbona noma sana!!!!!!!!!!!!!
Ankali nipe pole π€£ππππView attachment 3681377
Hii ni AI au?
Wapo Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa atabubujikwa machozi sana.Watakao msindikiza madher kuhani msiba mpo humu?
Nikupe hongera ankal maanaπππΏπAnkali nipe pole π€£
Na Mafwele ameshaanza kuranda randa mtaani, ni kukaa kimasta tu.
Sasa sijui atakumbatiwa na nani tena?
Nimempigia boda aniletee mzigo wa kutosha maana stock ya pombe imepwaya..!!Umenikumbusha nilibakiza ki wine changu...
π€£π€£π€£π€£ kufa kufaana, asizubae tena.Mwashamba sasa inabidi a step up...
πππ chizii wee.Kwa kitambi kile hata akikohoa tu helikopta inapoteza dira.
πππRest in peace Pendesheee Chivayo.. Mutu ya makumbato,, kipenzi ya mama yetu.
Bamdogo jamani ππππππππ