Hapo kila mtu akiyeweka mzigo kwake anahaha ili awahi kuchukua kabla hajapigwa na wenzie.Kaacha Songombingo.
Watachapana.
Kuna wale wenye tabia za mwigulu kuwahi Hazina kuokota mizigo.
Hiyo tweets nmeona ikitrend leo, sasa aliemtabiria bigi atadedi kwa crash anasemaje yeye 😂Alitabiriwa huyu
View attachment 3681494
😹😹 Mpaka muda huu kuna watu washagawana mashamba yake huko S.AHapo kila mtu akiyeweka mzigo kwake anahaha ili awahi kuchukua kabla hajapigwa na wenzie.
Full kugombania penee zao, lol
Wewe ndiye kenge wahed umenikadiria kuwa sjui Sheng😂Bahati mbaya huwa sina muda wa debate na mpumbavu kama wewe.
Mimi naongea na kuandika lugha yao na nipo kwenye platform za Wazim Kenge wewe acha kuvamiavamia watu.
Kenge kama wewe unaweza kukataa zawadi hii?
View attachment 3681436View attachment 3681437
Coincedence tuuAlitabiriwa huyu
View attachment 3681494
Mbona mnafanana sana na mwamba Chivayo au ni bro wakoAsee mwamba katangulia. Nimefika Ghetto nafungua JF na FB nimeshtuka sana asee. Haya maisha hayana garantiii kabisa hata ukiwa na hela.
Halafu ajali za ndege ndogo hizi casena single engines na helicopter zimefululiza sana duniani mwaka huu. Hata private jets.
Sasa hivi nitajitahidi sana kuepuka vyombo vya moto nitatembea kwa miguu.
Mke wake alikuwa very innocent. Wameumaliza mwendo wamewaachia hela wanaopumua wazitumbue.
Wapumzike tu salama.
Ulikuwa unamsifia sana huyo Chivayo kwa sababu alikuwa na huyo shangingi sa100 unayemsapoti.Be extra ordinary rich or poor!...
Webkwa hiyo walio kwa Mungu hawapati ajali na hawafi..!Huwezi kuchangamana na Shetani halafu ukawa salama, Mungu siyo fala
Hili ni fundisho kwa Mamluki wengine
😂😂😂😹😹 Mpaka muda huu kuna watu washagawana mashamba yake huko S.A
Huyu Chivayo kauawa na mafia gang wenzie, huyo Susan mutami ni ni kiongozi wa mafia gang inaitwa hivyo Susan, inaonekana wametilifiana kwenye maslahi kwenye mgongo wa rais wao mnanangwa.
Sio coincidence ni mafia gang wenzio hao.Coincedence tuu
Wewe umefahamu vipi ni mafia gang wenzake, hio ni fact ama maoni yako binafsi?Sio coincidence ni mafia gang wenzio hao.
You might be right ibasi ni chatco, kuna tajiri wa mabasi, kijana wa Kikinga, alikuwa amesimama nyuma ya basi yake, akizungumza na watu, mara basi linaanza kurudi nyuma, watu wanapiga kelele kumshtua, yeye hasikii amesimama tuu, gari ilimpush akaanguka chini, zile double tyres za nyuma, zikampandia kifuani!, ni hapo hapo!.Mkuu nikusahihishe kidogo yule tajiri wa Nyatco(Nyasanga) yupo hai,, alikuwa anasali Mlima wa Moto, enzi zile za mwenyewe Getrude, aliyefariki alikuwa na kampuni ya mabasi jina lake nimesahau, ila wote ni wa kabila la Wakinga.
Ni maoni yangu, kuna sehemu nimesoma kuhusu Gold Mafia, jinsi biashara haramu ya dhahabu na utakatishaji pesa unaofanywa na Mnanangwa na hao mafia wengine. Kuna kampuni iko inaitwa hivyo Suzan, ko nimejaribu kuunga dots hapo.Wewe umefahamu vipi ni mafia gang wenzake, hio ni fact ama maoni yako binafsi?