Zimebaki siku 6 nchi iingie kwenye aibu nzito

Haya tusubiri baada ya siku 6 uje kusoma hii comment yako
 
Pre season wanafanya na Pan African unategemea nini ,Sasa hivi wanakelele Sana kama kawaida yao,ngoja watandikwe na River United ,marudiano watandikwe tena halafu tunawamaliza kwenye ngao ya jamii kama hawajatimuana .
Pre season hua inatumika kuangalia strength ya kikosi na kila combination unayoifikiria ndiyo maana Arsenal kacheza pre season na Millwall, Bayern kacheza na Jong (timu daraja la tatu) na akafungwa, Spurs kacheza na timu daraja la pili akafa.

So pre season siyo kipimo cha ukali wa timu ni kipimo cha combination ipi itafaa.
 
Pre season wanafanya na Pan African unategemea nini ,Sasa hivi wanakelele Sana kama kawaida yao,ngoja watandikwe na River United ,marudiano watandikwe tena halafu tunawamaliza kwenye ngao ya jamii kama hawajatimuana .
Naona mmeanza kuwa wapiga ramli. Lol.
 
Ila si kwa Yanga
 
Nashindwa kufahamu ni AIBU gani anayo izungumzia mleta mada!

Katika Historia ya mpira wa Bongo ni Wenyenchi/Wananchi pekee wenye haki kutamba linapokuja suala la udharirishaji wa mpira wa Bongo.

Tunatamba sio kwa sababu tumecheza fainali CAF bali ni kwaababu hatijawahi kurudi nyumbani kichwa kikiwa makwapani.

I love You Yanga SC.

Nashindwa kufahamu ni AIBU gani anayo izungumzia mleta mada!

Katika Historia ya mpira wa Bongo ni Wenyenchi/Wananchi pekee wenye haki kutamba linapokuja suala la udharirishaji wa mpira wa Bongo...
Tayari umebadili mada. Akili zako za utopolo wewe jamaa. Halafu matokeo hayo hayo leo yamekufanya leo unashiriki CAF. Mbeleko la Simba

Halafu hilo timu linaanzia stage ipi na ma giants wenzie kina Al Ahl?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…