Zimebaki siku 6 nchi iingie kwenye aibu nzito

Nashindwa kufahamu ni AIBU gani anayo izungumzia mleta mada!

Katika Historia ya mpira wa Bongo ni Wenyenchi/Wananchi pekee wenye haki kutamba linapokuja suala la udharirishaji wa mpira wa Bongo
Hizi picha huwa unaenda Google au unazo kwa simu
 
MIMI NI SIMBA FUN LAKINI NAONA YANGA WANA ENDA KUSHINDA NIMEIFUATILIA RIVER UNITED HAINA MAAJABU YAKAWIDA TU SIO KAMA ZESCO, YANGA WAJITAHIDI WANA ASILIMIA ZAIDI YA 70 KUSHINDA KAZI KWAO TU.
 
Mikia bwana,baada ya kuzindua majezi ya ajabu mmeona hasira zenu mzihamishie Jangwani..

Mwamedi anawapeleka sana kama manyumbu..
 
Amina
 
Nawaomba msichoke kuwaelimisha, wenzetu ni mbumbumbu hivyo msichoke kutoa msaada Wa namna hii!
 
Kwani ka - pumbu atakuwepo tena?
 
MIMI NI SIMBA FUN LAKINI NAONA YANGA WANA ENDA KUSHINDA NIMEIFUATILIA RIVER UNITED HAINA MAAJABU YAKAWIDA TU SIO KAMA ZESCO, YANGA WAJITAHIDI WANA ASILIMIA ZAIDI YA 70 KUSHINDA KAZI KWAO TU.
imefuatilia wapi?michezo iliyopita? baada ya kujua wapo CAF hawakusajili? Usijidangaye
 
Hakika aibu nzito inakuja
 
Na hii unaikumbuka au ulikuwa kwenu mbwinde unachunga mbuzi
 
MIMI NI SIMBA FUN LAKINI NAONA YANGA WANA ENDA KUSHINDA NIMEIFUATILIA RIVER UNITED HAINA MAAJABU YAKAWIDA TU SIO KAMA ZESCO, YANGA WAJITAHIDI WANA ASILIMIA ZAIDI YA 70 KUSHINDA KAZI KWAO TU.

Hakunaga Shabiki wa Simba anaeanza na kusema “mimi ni Simba” tena kwa Capital Letters! Haya huwa wanafanya Utopolo peke yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…