Zimebaki siku 6 nchi iingie kwenye aibu nzito

Cheki huyu jamaa!!! atakuwa amepatwa na wazimu duh masikini!!! mwe!!
 
Ningependa kutoa pendekezo kwa shirikisho la soka duniani FIFA kwamba mchezo wa mpira uwe kama boxing mtu akichapwa goli tatu za chap! chap! bila response mechi ikatwe mtu apewe ushindi. Hii ita tuepusha watanzania na aibu inayokwenda kutokea jumapili hapo kwa mkapa ..

Naomba kuwasilisha ..
 
Hakunaga Shabiki wa Simba anaeanza na kusema β€œmimi ni Simba” tena kwa Capital Letters! Haya huwa wanafanya Utopolo peke yao.
Mtaani wananiita Morison yaani Misukule fc wakiniona wanabadili njia maana ni mkero zaidi ya Kapumb_ siku ya mabwege.
 
Weka na ya Algeria walikufanyaje 4_0
 
Hahahaa ndo kilichobaki na zile jezi watakua hawaoni maana ni kama reflectors
 
Wachawi washaanza kuiologa Yanga mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee peeeeeeeeeee.
 
We kweli msukule,,, weka pia na matokeo ya kaizer chief 0-3 simba, weka tena matokeo vita 1-4 simba, alafu weka tena matokeo al ahly alivyokufa taifa,,,,
Hoja ya matokeo hayo hayana msingi wowote kwani hata kwa simba wamekaa, ila kwa vile we ni kilaza sikushangai kwani ulishawahi kukoment kuwa simba haiwezi kuwa ya 13 kwa ubora kwa kuwa vita a.s vita ilishacheza nusu fainali huko nyuma why simba iwe ya 13 impite vita,,, yani we ni garasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…