Zipi ni njia bora za kumpata mfanyakazi mwaminifu

Ahsante sana m
 
manengelo,
Mtu mwaminifu hakuna.....hata nduguyo anaweza kukuibia..hakuna mfanyakazi asiyependa ganji na mapigo (michongo) mahala pa kazi..mimi mwenyewe na mwanangu mmoja tulikuwa tunampiga bosi wetu ili tujazie subsistence wage


😅😅!iba bas kidg!dah...kuna ndugu yangu fulan hana mishe lakn kila nikimsisitiza naona hana mwelekeo kbs..kila siku ananibandikia tu kucha😇
 
In this day and age hakuna muaminifu, fahamu faida yako estimation ni kiasi gani kwa wakati gani fahumu peak times n.k. mwisho wa siku unachokipata kama ni faida shukuru Mungu..., kuibiwa ishakuwa part and parcel.., jamii yetu ishaona wizi ni sifa...

After all ni heri kupata asilimia 2 ya faida kwa kitu ambacho hauweki nguvu zako, kuliko kupata asilimia 100% ya kitu ambacho unaweka nguvu asilimia 100%
 


Nakuelewa...kuna mishe zingine ni very sensitive.anywys...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…