Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni Mzanaki, Siyo Mjita.Yego wasuu fafanua basi kidogo
Asante sana mkuu kwa kunikumbuka, napenda sana kutoa uzoefu wangu chanya ili mwanadamu mwingine afanikiwe na asifanye makosa niliyoyapitia mimi au mwingine. Una spirit ya mafanikio wewe komaa tu na hiyo kazi na mwisho wa mwezi jumlisha faida uliyoiopata kwa mwezi mzima halafu ilinganishe na net salary ya mfanyakazi anayefunga tai kila siku
Sent using Jamii Forums mobile ahsante sana mkuu
Kuna mtu namjua ni mwaminifu sana na anajua biashara ( kijana wa kichagga). Hana kazi muda huu.
Ukimuhitaji ingia pm nikuunganishe nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
manengelo,
Mtu mwaminifu hakuna.....hata nduguyo anaweza kukuibia..hakuna mfanyakazi asiyependa ganji na mapigo (michongo) mahala pa kazi..mimi mwenyewe na mwanangu mmoja tulikuwa tunampiga bosi wetu ili tujazie subsistence wage
Hahaha sawa mama usiwe gamboshi tu...Nn siku ya 3siko mtandaoni...net hakun mzee baba/mama!..hapa nimepanda kwenye kifusi[emoji28]!...jion nikiweza kwenda senta tutachat
Zipi izo kwa mfano!Kuna mishe za camera mkuu😅! Zingine haziwezekan
Zipi izo kwa mfano!
Chukulia tu hata wewe nikuajiri uende Mtwara ukanikusanyie korosho ton 200, nakupa 140m za kuanzia, ivi hutanipiga hata elfu 10 kweli!Zipo nyingi!mfano ukopeshaji wa hela .....ukusanyaji wa mazao mashambani .hahiitaj kamera!
Chukulia tu hata wewe nikuajiri uende Mtwara ukanikusanyie korosho ton 200, nakupa 140m za kuanzia, ivi hutanipiga hata elfu 10 kweli!
In this day and age hakuna muaminifu, fahamu faida yako estimation ni kiasi gani kwa wakati gani fahumu peak times n.k. mwisho wa siku unachokipata kama ni faida shukuru Mungu..., kuibiwa ishakuwa part and parcel.., jamii yetu ishaona wizi ni sifa...
After all ni heri kupata asilimia 2 ya faida kwa kitu ambacho hauweki nguvu zako, kuliko kupata asilimia 100% ya kitu ambacho unaweka nguvu asilimia 100%