Zipi ni njia bora za kumpata mfanyakazi mwaminifu

Zipi ni njia bora za kumpata mfanyakazi mwaminifu

Ahsante sana m
Asante sana mkuu kwa kunikumbuka, napenda sana kutoa uzoefu wangu chanya ili mwanadamu mwingine afanikiwe na asifanye makosa niliyoyapitia mimi au mwingine. Una spirit ya mafanikio wewe komaa tu na hiyo kazi na mwisho wa mwezi jumlisha faida uliyoiopata kwa mwezi mzima halafu ilinganishe na net salary ya mfanyakazi anayefunga tai kila siku

Sent using Jamii Forums mobile ahsante sana mkuu
 
manengelo,
Mtu mwaminifu hakuna.....hata nduguyo anaweza kukuibia..hakuna mfanyakazi asiyependa ganji na mapigo (michongo) mahala pa kazi..mimi mwenyewe na mwanangu mmoja tulikuwa tunampiga bosi wetu ili tujazie subsistence wage

😅😅!iba bas kidg!dah...kuna ndugu yangu fulan hana mishe lakn kila nikimsisitiza naona hana mwelekeo kbs..kila siku ananibandikia tu kucha😇
 
In this day and age hakuna muaminifu, fahamu faida yako estimation ni kiasi gani kwa wakati gani fahumu peak times n.k. mwisho wa siku unachokipata kama ni faida shukuru Mungu..., kuibiwa ishakuwa part and parcel.., jamii yetu ishaona wizi ni sifa...

After all ni heri kupata asilimia 2 ya faida kwa kitu ambacho hauweki nguvu zako, kuliko kupata asilimia 100% ya kitu ambacho unaweka nguvu asilimia 100%
 
Nakuelewa...kuna mishe zingine ni very sensitive.anywys...!
 
Back
Top Bottom