Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
-
- #41
Tayari Abraar Education Centre tuna bidhaa tunaziunda hapahapa, tunaezeka bila bati. Unaokoa sana gharama za ujenzi na unapata kiwanja kipya juu ya nyumba yako.Bei za vifaa vya ujenzi kuwa juu ni fursa kwa kama mtu ni mbunifu wa kuja na technology mbadala wa vifaa vya ujenzi watu wamekariri cement, nondo, bati, misumari kwamba ni lazima, technology ya ujenzi imeadvanve Sana unaweza ukajenga nyumba bora zaidi pasipo hitaji kutumia cement, nondo, nk zipo mbadala nyingi Sana tena kwa gharama nafuu zaidi, kuanzia ukuta, msingi na viezekeo tena bora na udumu mda mrefu kuliko bati.
Hollow blocks,sisi sio wa kwanza bali zipo za aina nyingi sana.Shule nilosoma ila hollow bricks ilijengwa na wamissionary so nadhani nyie si wa kwanza
Karibuni sana.Safi sana mkuu, kuna jamaa alichukua bidhaa zenu anasifia kila siku na mtaani anajiona spesho sana itabidi tumjibu kwa kuja kwenu pia,
Nawafahamu, wapo mafundi wao wameshatembelea kwetu, wameahidi kua wateja wa bidhaa zetu. Kuna bidhaa tunaunda wao hawana na kuna bidhaa wanaunda sisi hatuna. Tumeongea ushirikiano mwema.Mega Panels are made with reinforced wire mesh and Expanded Polystyrene (EPS) which acts as an insulator.
These are 120 to 150% lighter compared to conventional Blocks, easy to transport and quick to install, hence saving
up to 40-50% of the construction time. The Panels are also ideal to use for vertical extension due to its light-weight
factor, and can be used in any design configuration, and the insulation reduces 20% of heat transmission which will be
a blessing during hot seasons. In short, Mega Panels construction system comes with many more added advantages as
compared to Block Building system, including saving of Sand and Cement (up to 60%).
Mega Panels (@megapanels) • Instagram photos and videos
2,627 Followers, 67 Following, 47 Posts - See Instagram photos and videos from Mega Panels (@megapanels)instagram.com
Kuna hawa wengine wanaitwa Mega Panels, mfano wa ujenzi wao ni LC Waikiki ya Mlimani city walitumia takribani wiki tatu.
Wanatumia wire mesh na form
Hilo ni wazo jema kabisa, Nakushauri uje tuonane, tuongee progress. Sisi tumeanza kukusanya Raw materials.Takuja na project ya tofali za mchanga na plastic yaani mota ya kuunganisha tofali ni plastic badala ya mchanga hizi ni nzuri zinaitwa dead brick yaani hazifyonzi maji so haziwezi sapoti kitu hai mfano fungus, ukungu kwenye tofali ni nzuri kujengea maeneo yenye unyevu nyevu hazipitishi unyevu,haziliki na chemical yeyeto hata chumvi. Zinadumu miaka 500.
Nimefika Msumbiji. Wao wanatumia Bricks, hizi ni blocks.Asilimia 95 nyumba za tofal msumbiji wanatumia hizi tofal.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Huna ulilojibu mkuu!, Kwan huwa mnapewa masharti na waganga kuwa msitaje bei na mengineyo au?Nakushauri uje uone vitu live, kama huwezi kuja, jifunze teratibu, utayapatanmengi, ndio kwanza tumeanza na kifaa aina moja tu, tena bado hujaona kazi zake zote.
Hapa tunafundisha zaidi ya kutafuta soko, bidhaa zetu zina demand kubwa kuliko matarajio yote.
Tunawapa elimu Watanzania kua ujenzi si lazima uwe na mamilioni, unaanza kujenga kwa pesa za "beer".
Wateja wetu wengi ni wale ambao hawakua na fikra kua hata wao wanaweza kujenga.
Kuhusu maswali yako ya sasa hivi, jibu lake ninhivi...
Tunajivunia ubora wa bidhaa zetu kua ndio bidhaa pekee za ujenzi Tanzania hii utaponunua kama hujazitumia kwa sababubyiyitenile, hatuulizi, unarudishiwa pesa zako. (Money back guarantee, no question asked).
Mtuoneshe muundajji mwengine wa bidhaa za ujenzi, zinazofanana na zetu, afanyae hivyo Tanzania hii.
Natural jibu hilo litakua limejibu maswali yako, kama bado uliza tu zaidi. Sina sababu ya kupanick ni wasiwasi wako tu.
nikweli mkuuBei za vifaa vya ujenzi kuwa juu ni fursa kwa kama mtu ni mbunifu wa kuja na technology mbadala wa vifaa vya ujenzi watu wamekariri cement, nondo, bati, misumari kwamba ni lazima, technology ya ujenzi imeadvanve Sana unaweza ukajenga nyumba bora zaidi pasipo hitaji kutumia cement, nondo, nk zipo mbadala nyingi Sana tena kwa gharama nafuu zaidi, kuanzia ukuta, msingi na viezekeo tena bora na udumu mda mrefu kuliko bati.
Mbona maneno na tambo nyingi. Umeulizwa mfuko mmoja unatoa tofali ngapi, jibu acha kurukaruka. Umeulizwa pia bei lakini hujibu unaleta tambo tu..Kuhusu swali lako la resho, ubora wa bidhaa za ujenzi hautegemei resho peke yake. Kuna stages nyingi zinapitia ilinuwe na bidhaa bora na zote lazima ziwe na "quality conttol" ya uhakika.
Pata ujuzi kwa uchache, stages zinazopitua bidhaa zetu kabla ya kuuzwa.
1) Raw Material selection.
2) Raw material sorting.
3) Raw material cleansing and sieving.
4) Raw material mixing, ratios and additives.
5) molding.
6) vibrating.
7) compacting.
8) demolding.
9) settling.
10) curing.
11) testing.
12) selecting.
13) good for selling.
Hizo ni stages ambazo bidhaa zetu hupitia kabla ya kuuzwa. Stages zote hizo zina ujuzi wa kutambua ubora wa namna ya kuzifanya.
Karibu sana.
'Mfuko mmoja" unatoa tofari idadi tofauti, inategemea za kufanyia kazi ipi? Si kila tofari inafanya kazi zote za ujenzi. Kua specific.Mbona maneno na tambo nyingi. Umeulizwa mfuko mmoja unatoa tofali ngapi, jibu acha kurukaruka. Umeulizwa pia bei lakini hujibu unaleta tambo tu..
Mtusamehe, bado hatuna kwa sasa, ndio tupo njiani tunatafuta P.R.O. na social media specialist.Ahsante Mkuu kwa elimu hii!!!Je kuna Account ya Instagram ambayo yunaweza kupitia kwa elimu na picha zaidi ?
Sisi tunaitwa Abraar Education Centremawasiliano mbona hakuna?
Maswali yako ya msingi ingawa umejibiwa kikejeli. Sijapenda.Mi naona upande wa hasara kama ifuatavyo!
1. Upatikanaji wake mgumu mambo ya kuweka oda wengi hatupendi usumbufu tunataka pap pap mzigo site
2. Zinahitaji fungu la mkupuo, kwa wajenzi wa kuunga unga kwa awamu sijui
3. Zinabagua mafundi, baadhi ya mafundi wa bei za kunjunga hawaziwezi hasa maungio joint
4. Mafundi umeme wakianza kutindua ukuta sijui kama unahimili nyundo za mafundi bomba plumbing
5. Kama italazimu mafundi umeme waingize bomba watumie matundu (hollow) zinawaongezea usumbufu hivyo ni aghali
6. Kulance ununue tofali za inje na zingine za ndani hili nalo linaongeza usumbufu
Nikichakata usumbufu, mafundi na aina ya bajeti zetu naona huku siyo chaguo sahihi labda tuwaachie matajili
Hongera sana, Mkuu. Umeonyesha utumiaji mzuri wa mitandao. Wengine wanadownload nyimbo/muziki tu!Hapa Abraar Edu tunaunda ya saizi tofauti. Saizi mbili kuu ya 8" na 4" yanapatikana wakati wote au order za muda mfupi. Pia tunaunda ya 5" na 6".
View attachment 2298252View attachment 2298253View attachment 2298254View attachment 2298255
View attachment 2298256
Vipande si ununue ya kawaida kama hamsini uwe unakata vipande? kuna ubaya gani katika hilo.?7. Kuna sehemu za kuweka vipande, kwa aina hii ya tofari inakuwa ngumu kukata kipande
Hongereni sana aisee,utuwekee na hivyo vingine mkuu.Tayari Abraar Education Centre tuna bidhaa tunaziunda hapahapa, tunaezeka bila bati. Unaokoa sana gharama za ujenzi na unapata kiwanja kipya juu ya nyumba yako.
Ni vyema kua una mawazo chanya ambayo nafurahi kua sisi tayari tunayatimiza.