Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
- #41
Tayari Abraar Education Centre tuna bidhaa tunaziunda hapahapa, tunaezeka bila bati. Unaokoa sana gharama za ujenzi na unapata kiwanja kipya juu ya nyumba yako.Bei za vifaa vya ujenzi kuwa juu ni fursa kwa kama mtu ni mbunifu wa kuja na technology mbadala wa vifaa vya ujenzi watu wamekariri cement, nondo, bati, misumari kwamba ni lazima, technology ya ujenzi imeadvanve Sana unaweza ukajenga nyumba bora zaidi pasipo hitaji kutumia cement, nondo, nk zipo mbadala nyingi Sana tena kwa gharama nafuu zaidi, kuanzia ukuta, msingi na viezekeo tena bora na udumu mda mrefu kuliko bati.
Ni vyema kua una mawazo chanya ambayo nafurahi kua sisi tayari tunayatimiza.