Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Bei za vifaa vya ujenzi kuwa juu ni fursa kwa kama mtu ni mbunifu wa kuja na technology mbadala wa vifaa vya ujenzi watu wamekariri cement, nondo, bati, misumari kwamba ni lazima, technology ya ujenzi imeadvanve Sana unaweza ukajenga nyumba bora zaidi pasipo hitaji kutumia cement, nondo, nk zipo mbadala nyingi Sana tena kwa gharama nafuu zaidi, kuanzia ukuta, msingi na viezekeo tena bora na udumu mda mrefu kuliko bati.
Tayari Abraar Education Centre tuna bidhaa tunaziunda hapahapa, tunaezeka bila bati. Unaokoa sana gharama za ujenzi na unapata kiwanja kipya juu ya nyumba yako.

Ni vyema kua una mawazo chanya ambayo nafurahi kua sisi tayari tunayatimiza.
 
Mega Panels are made with reinforced wire mesh and Expanded Polystyrene (EPS) which acts as an insulator.
These are 120 to 150% lighter compared to conventional Blocks, easy to transport and quick to install, hence saving
up to 40-50% of the construction time. The Panels are also ideal to use for vertical extension due to its light-weight
factor, and can be used in any design configuration, and the insulation reduces 20% of heat transmission which will be
a blessing during hot seasons. In short, Mega Panels construction system comes with many more added advantages as
compared to Block Building system, including saving of Sand and Cement (up to 60%).

Kuna hawa wengine wanaitwa Mega Panels, mfano wa ujenzi wao ni LC Waikiki ya Mlimani city walitumia takribani wiki tatu.
Wanatumia wire mesh na form
 
Shule nilosoma ila hollow bricks ilijengwa na wamissionary so nadhani nyie si wa kwanza
Hollow blocks,sisi sio wa kwanza bali zipo za aina nyingi sana.

Tunazo za 8" ambazo sisi tunajivunia kua wa kwanza Tanzania pia tuna vifaa aina kadhaa vinavyookoa muda na gharama ambavyo sisi tunajivunia kua ni wa kwanza Tanzania.

Pia kama haitoshi, sisi ni wa kwanza kuvitangaza kwa jamii ili kuwafahamisha kua kuna ujenzi wa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu, ambao Watanzania tumefichwa fichwa kwa muda mrefu.
 
Mega Panels are made with reinforced wire mesh and Expanded Polystyrene (EPS) which acts as an insulator.
These are 120 to 150% lighter compared to conventional Blocks, easy to transport and quick to install, hence saving
up to 40-50% of the construction time. The Panels are also ideal to use for vertical extension due to its light-weight
factor, and can be used in any design configuration, and the insulation reduces 20% of heat transmission which will be
a blessing during hot seasons. In short, Mega Panels construction system comes with many more added advantages as
compared to Block Building system, including saving of Sand and Cement (up to 60%).

Kuna hawa wengine wanaitwa Mega Panels, mfano wa ujenzi wao ni LC Waikiki ya Mlimani city walitumia takribani wiki tatu.
Wanatumia wire mesh na form

Nawafahamu, wapo mafundi wao wameshatembelea kwetu, wameahidi kua wateja wa bidhaa zetu. Kuna bidhaa tunaunda wao hawana na kuna bidhaa wanaunda sisi hatuna. Tumeongea ushirikiano mwema.

Ni vyema sana.
 
Takuja na project ya tofali za mchanga na plastic yaani mota ya kuunganisha tofali ni plastic badala ya mchanga hizi ni nzuri zinaitwa dead brick yaani hazifyonzi maji so haziwezi sapoti kitu hai mfano fungus, ukungu kwenye tofali ni nzuri kujengea maeneo yenye unyevu nyevu hazipitishi unyevu,haziliki na chemical yeyeto hata chumvi. Zinadumu miaka 500.
Hilo ni wazo jema kabisa, Nakushauri uje tuonane, tuongee progress. Sisi tumeanza kukusanya Raw materials.
 
Asilimia 95 nyumba za tofal msumbiji wanatumia hizi tofal.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Nimefika Msumbiji. Wao wanatumia Bricks, hizi ni blocks.

Asilimia 100 ya nchi zenye joto kali wanatumia hizi hollow bricks au hollow blocks lakini sio kama hizi zetu za kujengea msingi wa nyumba. Zao ni za kujengea kuta za nyumba, nazo tunaunda pia hapa kwetu.
 
Nakushauri uje uone vitu live, kama huwezi kuja, jifunze teratibu, utayapatanmengi, ndio kwanza tumeanza na kifaa aina moja tu, tena bado hujaona kazi zake zote.

Hapa tunafundisha zaidi ya kutafuta soko, bidhaa zetu zina demand kubwa kuliko matarajio yote.

Tunawapa elimu Watanzania kua ujenzi si lazima uwe na mamilioni, unaanza kujenga kwa pesa za "beer".

Wateja wetu wengi ni wale ambao hawakua na fikra kua hata wao wanaweza kujenga.

Kuhusu maswali yako ya sasa hivi, jibu lake ninhivi...

Tunajivunia ubora wa bidhaa zetu kua ndio bidhaa pekee za ujenzi Tanzania hii utaponunua kama hujazitumia kwa sababubyiyitenile, hatuulizi, unarudishiwa pesa zako. (Money back guarantee, no question asked).
Mtuoneshe muundajji mwengine wa bidhaa za ujenzi, zinazofanana na zetu, afanyae hivyo Tanzania hii.

Natural jibu hilo litakua limejibu maswali yako, kama bado uliza tu zaidi. Sina sababu ya kupanick ni wasiwasi wako tu.
Huna ulilojibu mkuu!, Kwan huwa mnapewa masharti na waganga kuwa msitaje bei na mengineyo au?

Jamaa kaulizia Bei zake zipoje, unakwepa kwepa tu, ndio tatizo ya biashara za masharti ya sangoma
 
Bei za vifaa vya ujenzi kuwa juu ni fursa kwa kama mtu ni mbunifu wa kuja na technology mbadala wa vifaa vya ujenzi watu wamekariri cement, nondo, bati, misumari kwamba ni lazima, technology ya ujenzi imeadvanve Sana unaweza ukajenga nyumba bora zaidi pasipo hitaji kutumia cement, nondo, nk zipo mbadala nyingi Sana tena kwa gharama nafuu zaidi, kuanzia ukuta, msingi na viezekeo tena bora na udumu mda mrefu kuliko bati.
nikweli mkuu
 
Kuhusu swali lako la resho, ubora wa bidhaa za ujenzi hautegemei resho peke yake. Kuna stages nyingi zinapitia ilinuwe na bidhaa bora na zote lazima ziwe na "quality conttol" ya uhakika.

Pata ujuzi kwa uchache, stages zinazopitua bidhaa zetu kabla ya kuuzwa.

1) Raw Material selection.
2) Raw material sorting.
3) Raw material cleansing and sieving.
4) Raw material mixing, ratios and additives.
5) molding.
6) vibrating.
7) compacting.
8) demolding.
9) settling.
10) curing.
11) testing.
12) selecting.
13) good for selling.

Hizo ni stages ambazo bidhaa zetu hupitia kabla ya kuuzwa. Stages zote hizo zina ujuzi wa kutambua ubora wa namna ya kuzifanya.

Karibu sana.
Mbona maneno na tambo nyingi. Umeulizwa mfuko mmoja unatoa tofali ngapi, jibu acha kurukaruka. Umeulizwa pia bei lakini hujibu unaleta tambo tu..
 
Mbona maneno na tambo nyingi. Umeulizwa mfuko mmoja unatoa tofali ngapi, jibu acha kurukaruka. Umeulizwa pia bei lakini hujibu unaleta tambo tu..
'Mfuko mmoja" unatoa tofari idadi tofauti, inategemea za kufanyia kazi ipi? Si kila tofari inafanya kazi zote za ujenzi. Kua specific.

Naam, najivunia kazi yangu, sio tambo.
 
mawasiliano mbona hakuna?
Sisi tunaitwa Abraar Education Centre

Tuna madarasa ya vifaa vya ujenzi na ujenzi masonry). Abraar maana yake ni waja wema. Mobile No. 0656399856 au Whatsapp 0625249605 pia tuna madarasa mengine kadhaa ya fani mbali mbali na mengine yanayotarajiwa kuanzishwa hivi karibuni.

Tupo mtaa wa Vitendo, kata ya Misugusugu, wilaya ya Kibaha, mkoa wa pwani.

Stendi inaitwa Miyomboni Shule au Misugusugu Shule ya msingi. Ukitokea Dar mjini ipo baada kidogo ya kupita Kongowe.
 
Mi naona upande wa hasara kama ifuatavyo!
1. Upatikanaji wake mgumu mambo ya kuweka oda wengi hatupendi usumbufu tunataka pap pap mzigo site
2. Zinahitaji fungu la mkupuo, kwa wajenzi wa kuunga unga kwa awamu sijui
3. Zinabagua mafundi, baadhi ya mafundi wa bei za kunjunga hawaziwezi hasa maungio joint
4. Mafundi umeme wakianza kutindua ukuta sijui kama unahimili nyundo za mafundi bomba plumbing
5. Kama italazimu mafundi umeme waingize bomba watumie matundu (hollow) zinawaongezea usumbufu hivyo ni aghali
6. Kulance ununue tofali za inje na zingine za ndani hili nalo linaongeza usumbufu

Nikichakata usumbufu, mafundi na aina ya bajeti zetu naona huku siyo chaguo sahihi labda tuwaachie matajili
Maswali yako ya msingi ingawa umejibiwa kikejeli. Sijapenda.
 
Tayari Abraar Education Centre tuna bidhaa tunaziunda hapahapa, tunaezeka bila bati. Unaokoa sana gharama za ujenzi na unapata kiwanja kipya juu ya nyumba yako.

Ni vyema kua una mawazo chanya ambayo nafurahi kua sisi tayari tunayatimiza.
Hongereni sana aisee,utuwekee na hivyo vingine mkuu.
 
Back
Top Bottom