Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umri wako, jinsia yako, tajiriba yako jukwaani na "ilmu" yako, sikutegemea hichi ulichoandika.Nimeupitia uzi wote mwanzo mpaka mwisho, maswali yote yamejibiwa, mengine Abdul ameyajibu na picha juu.
Wacheni uboya. Nafahamu kinachowaumiza roho.
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Hoja yangu hujaielewa! Kutumia hizo tofali inahitaji ujenzi wa jumla jumla kitu ambacho kinahitaji bajeti!View attachment 2308186
Hakuna wepesi na ubora na urahisi kuweka bomba ziwe za maji safi au maji taka au za umeme kama kuweka kwenye hollow blocks.
Kazi yake inakua safi na nyepesi kuliko tofari solid ulizozioea wewe.
Nimekuelewa vizuri sana na nilishakujibu juu huko lakini unaonesha hauna umakini wa kusoma na kuelewa.Hoja yangu hujaielewa! Kutumia hizo tofali inahitaji ujenzi wa jumla jumla kitu ambacho kinahitaji bajeti!
Watu wengi uwezo ni mdogo hujenga nyumba kwa awamu!...
Muda, usumbufu , gharama ni kubwa sana lakini kwa juujuuu huwezi kuiona!
Mimi hizi labda nijengee UZIO lakini kwa nyumba ya kuishi katu katu labda niokote pesa
Kwani kuna tatizo lipi hapo? Na wewe kama unacho cha kujivunia cha kutangaza kitangaze.Nilichokuja kugundua huyu jamaa ana-advertise hiyo Education Center yake, hajaja hapa kutuelimisha kuhusu hizi blocks.... Na hiyo anayosema zinapunguza 40%-60% ya gharama ni just theoriticaly tuu, ila kwa ground mambo ni tofauti kabisa...
Itakuwa vyema sana. Umejitendea haki.Kwa umri wako, jinsia yako, tajiriba yako jukwaani na "ilmu" yako, sikutegemea hichi ulichoandika.
Anyway, nitawacha uboya. Kutoka comment hii kwenda mbele, chochote utakachoandika, jibu ni hili hili. Shortly namaanisha sitajibu comment yako yoyote baada ya hii.
Kakujibu vizuri sana, mimi natilia mkazo tu.Nilichokuja kugundua huyu jamaa ana-advertise hiyo Education Center yake, hajaja hapa kutuelimisha kuhusu hizi blocks.... Na hiyo anayosema zinapunguza 40%-60% ya gharama ni just theoriticaly tuu, ila kwa ground mambo ni tofauti kabisa...
Abdul hakikisha wanafata quality and standards zako za "ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu".Tena umeuluza swali zuri sana.
Wengi sana wanaulizia kua mawakala mikoani lakini bado tunajadili nq kuchambua mpaka tupate ataelibeba jina la Abraar kwa ubora wake. We sell quality not quantity.
Uliza tu, In shaa Allah zitafika mikoani haraka sana.
Kwa umri wako, jinsia yako, tajiriba yako jukwaani na "ilmu" yako, sikutegemea hichi ulichoandika.
Anyway, nitawacha uboya. Kutoka comment hii kwenda mbele, chochote utakachoandika, jibu ni hili hili. Shortly namaanisha sitajibu comment yako yoyote baada ya hii.
Naona mwanao yupo anafundishwa darasa la 1on1😅😅😅Abdul hakikisha wanafata quality and standards zako za "ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu".
Hongera sana. Nimelipenda hili darasa la kompyuta la "one on one".
Kwanza naomba unielewe kuwa nimesomea ujenzi, kwa level ya bachelor. Na maisha yangu ya kila siku niko site. Na kwa baadhi ya vitu alivyoonesha mtalam (kama hollow blocks) nilishafanyia kazi saana tu. Hivyo sina maswali juu ya hivyo.Lengo ni kutoa taarifa siyo kuuza.
Yeah, huu ndio uzio tulioujenga kwa hollow blocks, na wanafunzi wanasoma ndani ya uzio...Hoja yangu hujaielewa! Kutumia hizo tofali inahitaji ujenzi wa jumla jumla kitu ambacho kinahitaji bajeti!
Watu wengi uwezo ni mdogo hujenga nyumba kwa awamu!...
Muda, usumbufu , gharama ni kubwa sana lakini kwa juujuuu huwezi kuiona!
Mimi hizi labda nijengee UZIO lakini kwa nyumba ya kuishi katu katu labda niokote pesa
You are right.Kama umegundua yeye na huyo bwana mwenye uzi wanafahamiana, na yeye yupo hapa kama kutia nakshi andiko la jamaa..
Bahati nzuri wamekuta jf no fools to fool around.
Thank you for being HONEST..You are right.
You are right.Thank you for being HONEST..
Amini usiamini kwa kufichaficha kwako mambo kuna njemba will take that advantage na kukuovertake...Hollow blocks zina range ya aina na bei zinatofautiana, Shillingi 800 mpaka 3000 kwa kila moja
Inategemea na unachotaka kufanyia.
Hakuna kinachofichwa.Amini usiamini kwa kufichaficha kwako mambo kuna njemba will take that advantage na kukuovertake...
Andaa pdf inayoonesha mchanganuo mzima wa aina ya block na bei zake kisha iweke hapa..
Tena mimi mwenyewe ndie Mwalimu wa ma "sangoma", masharti yanazidi kwangu.Huna ulilojibu mkuu!, Kwan huwa mnapewa masharti na waganga kuwa msitaje bei na mengineyo au?
Jamaa kaulizia Bei zake zipoje, unakwepa kwepa tu, ndio tatizo ya biashara za masharti ya sangoma