Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Nilichokuja kugundua huyu jamaa ana-advertise hiyo Education Center yake, hajaja hapa kutuelimisha kuhusu hizi blocks.... Na hiyo anayosema zinapunguza 40%-60% ya gharama ni just theoriticaly tuu, ila kwa ground mambo ni tofauti kabisa...
 
Mkuu, tumekuelewa sana, tutakuja kujifunza kwenye hiyo center yako..

Lengo lako ni kutangaza education center yako lkn naona unazunguka sana..

IMG_20220729_211610.jpg
 
Nimeupitia uzi wote mwanzo mpaka mwisho, maswali yote yamejibiwa, mengine Abdul ameyajibu na picha juu.

Wacheni uboya. Nafahamu kinachowaumiza roho.

Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Kwa umri wako, jinsia yako, tajiriba yako jukwaani na "ilmu" yako, sikutegemea hichi ulichoandika.

Anyway, nitawacha uboya. Kutoka comment hii kwenda mbele, chochote utakachoandika, jibu ni hili hili. Shortly namaanisha sitajibu comment yako yoyote baada ya hii.
 
View attachment 2308186

Hakuna wepesi na ubora na urahisi kuweka bomba ziwe za maji safi au maji taka au za umeme kama kuweka kwenye hollow blocks.

Kazi yake inakua safi na nyepesi kuliko tofari solid ulizozioea wewe.
Hoja yangu hujaielewa! Kutumia hizo tofali inahitaji ujenzi wa jumla jumla kitu ambacho kinahitaji bajeti!

Watu wengi uwezo ni mdogo hujenga nyumba kwa awamu!...
Muda, usumbufu , gharama ni kubwa sana lakini kwa juujuuu huwezi kuiona!

Mimi hizi labda nijengee UZIO lakini kwa nyumba ya kuishi katu katu labda niokote pesa
 
Nimekuelewa vizuri sana na nilishakujibu juu huko lakini unaonesha hauna umakini wa kusoma na kuelewa.

fikra zako sio kweli. Bidhaa zetu zote zimelenga ujenzi wa Kitanzania wa kujenga na kupumua, unaweza kujenga hata block moja leo ukakaa miezi sita ukaja kujenga nyingine.

Hivi unaifahamu ujenzi wa aina ya "modular"?

Endelea kunifatilia kiumakini utauelewa tu ujenzi wetu. Pia tunakukaribisha uje tukupe elimu ya bure.
 
Nilichokuja kugundua huyu jamaa ana-advertise hiyo Education Center yake, hajaja hapa kutuelimisha kuhusu hizi blocks.... Na hiyo anayosema zinapunguza 40%-60% ya gharama ni just theoriticaly tuu, ila kwa ground mambo ni tofauti kabisa...
Kwani kuna tatizo lipi hapo? Na wewe kama unacho cha kujivunia cha kutangaza kitangaze.

Tena tunaijivunia sana Abraar Education Centre, unaelewa kwanini?

Kama huelewi kwanini, fata hii link; Darasa la ujenzi la Madrassatul Abraar latunukiwa Tuzo ya ubunifu wa ujenzi kutoka Shirika la Uingereza

Ukishasoma utachokikuta huko unifahamishe kwanini nisijivunie Abraar Education Centre.
 
Kwa umri wako, jinsia yako, tajiriba yako jukwaani na "ilmu" yako, sikutegemea hichi ulichoandika.

Anyway, nitawacha uboya. Kutoka comment hii kwenda mbele, chochote utakachoandika, jibu ni hili hili. Shortly namaanisha sitajibu comment yako yoyote baada ya hii.
Itakuwa vyema sana. Umejitendea haki.
 
Nilichokuja kugundua huyu jamaa ana-advertise hiyo Education Center yake, hajaja hapa kutuelimisha kuhusu hizi blocks.... Na hiyo anayosema zinapunguza 40%-60% ya gharama ni just theoriticaly tuu, ila kwa ground mambo ni tofauti kabisa...
Kakujibu vizuri sana, mimi natilia mkazo tu.

Uliona wapi chuo cha komputa tena kwa vitendo unalipja ada TZS 1,000 tu kwa siku? Kwanini asikitangaze? Mwenyewe Abdul kakuuliza "kwanini tusijivunie?"
 
Tena umeuluza swali zuri sana.

Wengi sana wanaulizia kua mawakala mikoani lakini bado tunajadili nq kuchambua mpaka tupate ataelibeba jina la Abraar kwa ubora wake. We sell quality not quantity.

Uliza tu, In shaa Allah zitafika mikoani haraka sana.
Abdul hakikisha wanafata quality and standards zako za "ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu".

Hongera sana. Nimelipenda hili darasa la kompyuta la "one on one".
 
Attachments

  • 20220725_111344.jpg
    20220725_111344.jpg
    441 KB · Views: 18
Kwa umri wako, jinsia yako, tajiriba yako jukwaani na "ilmu" yako, sikutegemea hichi ulichoandika.

Anyway, nitawacha uboya. Kutoka comment hii kwenda mbele, chochote utakachoandika, jibu ni hili hili. Shortly namaanisha sitajibu comment yako yoyote baada ya hii.

Kama umegundua yeye na huyo bwana mwenye uzi wanafahamiana, na yeye yupo hapa kama kutia nakshi andiko la jamaa..

Bahati nzuri wamekuta jf no fools to fool around.
 
Abdul hakikisha wanafata quality and standards zako za "ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu".

Hongera sana. Nimelipenda hili darasa la kompyuta la "one on one".
Naona mwanao yupo anafundishwa darasa la 1on1😅😅😅
 
Lengo ni kutoa taarifa siyo kuuza.
Kwanza naomba unielewe kuwa nimesomea ujenzi, kwa level ya bachelor. Na maisha yangu ya kila siku niko site. Na kwa baadhi ya vitu alivyoonesha mtalam (kama hollow blocks) nilishafanyia kazi saana tu. Hivyo sina maswali juu ya hivyo.
Nauliza bei kwa sababu zifuatazo:-

1. Kwanza nina project ya nyumba yangu binafsi ya ghorofa moja, ambapo natarajia kumimina slab August, hivyo kama ningepata hollow blocks ningepunguza uzito wa kuta za juu.
2. Mimi ni mjenzi, hivyo nakutana na wateja wa namna tofauti ambao wanahitaji ushauri wa mambo mbalimbali yahusuyo ujenzi. Hivyo, si rahisi kwa mimi kumshauri mteja kitu ambacho sijui gharama zake.
 
Hoja yangu hujaielewa! Kutumia hizo tofali inahitaji ujenzi wa jumla jumla kitu ambacho kinahitaji bajeti!

Watu wengi uwezo ni mdogo hujenga nyumba kwa awamu!...
Muda, usumbufu , gharama ni kubwa sana lakini kwa juujuuu huwezi kuiona!

Mimi hizi labda nijengee UZIO lakini kwa nyumba ya kuishi katu katu labda niokote pesa
Yeah, huu ndio uzio tulioujenga kwa hollow blocks, na wanafunzi wanasoma ndani ya uzio...

Hollow blocks zina range ya aina na bei zinatofautiana, Shillingi 800 mpaka 3000 kwa kila moja
Inategemea na unachotaka kufanyia.
 
Hollow blocks zina range ya aina na bei zinatofautiana, Shillingi 800 mpaka 3000 kwa kila moja
Inategemea na unachotaka kufanyia.
Amini usiamini kwa kufichaficha kwako mambo kuna njemba will take that advantage na kukuovertake...

Andaa pdf inayoonesha mchanganuo mzima wa aina ya block na bei zake kisha iweke hapa..
 
Amini usiamini kwa kufichaficha kwako mambo kuna njemba will take that advantage na kukuovertake...

Andaa pdf inayoonesha mchanganuo mzima wa aina ya block na bei zake kisha iweke hapa..
Hakuna kinachofichwa.

Sipo hapa kuzuia kipato cha mtu, mbona kuna watengeneza vifaa vya ujenzi kwa maelfu Tanzania hii na bado havitoshi.

Usiwe na hofu. Bidhaa zetu zina ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu. Tupo hapa kuwaelimisha Watanzania kua kuna vifaa mbadala vya ujenzi vyenye ubora wa hali ya juu na vinaokoa gharama za ujenzi kwa silimia 40 mpaka 60.

"Njemba" tena asiwe mmoja, wawe 100, bado hawatoshi.

Labda huelewi kua Tanzania kuna "njemba" za kutoka China, India, Pakistan, Egypt, Turkey, Iran, Kenya na Europe yote lakini bado hazitoshi.
 
Back
Top Bottom