Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Nimeangalia tovuti ya mkoa na zile za halmashauri zijapendezwa nazo kabisa.

Kuna sehemu nyingi katika tovuti hazijashiba madini sasa wawekezaji watapata vipi more information?

Sehemu ya biashara na uwekezaji.

Hapa wajaza habari za biashara, leseni za biashara.

Biashara ambazio ni lazima manispaa ipate kodi ni kama zifuatazo:

1. Mabango ya biashara

2. Masoko, maduka na masoko ya mitaani au magulio.

3. Majosho ya wanyama

4, Baa na kumbi za starehe

5. Magari ya kukodi na bodaboda.

Hapo wapata kodi ambayo itasaidia kuendeleza au kuboresha maeneo mengine.

Utapataje hizi kodi?

Weye waweka business rates kulingana na aina ya biashara.

Hili ni eneo mojawapo la kuingiza mapato kwa manispaa au wilaya.
 
Street light zikiendelea kuwekwa hii ni Barabara ya makambako to njombe na hizi zimewekwa makambako, njombe,wangingombe,ilembula,na igwachanya
View attachment 2520039
Safi sana kamanda haya ndo maendeleo tunayoyasema, barabara safi taa za barabarani na vivuko kwa watembea kwa miguu.

Taa za barabarani hupunguza vitendo cha kihalifu na pia kusaidia kutoa mwanga kwa nyakati za usiku.

Pia kusaidia aerial view kwa alie angani.
 
Mkoa wa njombe kuwa na stendi kubwa za mabasi mbili njombe na makambako ya njombe imekamilika bado ya makambako
 
Na maambukizi ya HIV ni fursa kiuchumi?
 
Na maambukizi ya HIV ni fursa kiuchumi?
Kila penye mafanikio hapakosi changamoto na hii imetokana na mwamko mkubwa wa upimaji afya wa watu wa njombe na wengine walikuwa wa mikoa ya jirani kutokana na uwepo wa huduma Bora za afya ndani ya mkoa mfano ikonda hospital
 
Ki

Kila sehemu uchawi upo Cha msingi ni kupambanaView attachment 2520090View attachment 2520091
Mkuu, safi sana, naona nimechokoza nyuki waleta mizinga ya maana.

Njombe kweli kumekucha.

Lakini kama nilivyosema hapo mwanzo kwamba mpangilio mzuri ni silaha tosha kuwalenga wawekezaji makini.

Kuna wawekezaji wengi hupenda kusikia maeneo fulani nimzuri kuishi au kujenga nyumbha nzuroi za makazi, masuala kama umeme usokatika hovyo, na uhakika wa maji salama.

Hivi nadhani vipo chini ya uwezo wenu.

Njombe oyeeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…