Unaweza fanya hii pia mkoa wa njombe.
1.kutengenza mkaa unamix unga wa makaa ya mawe na unga wa maranda ya mbao then unatumia pellet mill kutengeneza pellet au mkaa unapaki unasambaza nchi nzima.
2.Mradi Mkubwa wa matofali ya kuchoma kwa kutumia burner za oil, makaa ya mawe, maranda.
3.Blast furnace za kuyeyusha chuma KWA kutumia makaa ya mawe.
4.Utengezaji wa mikeka ya kisasa kutumia mianzi
5.Kuzalisha caborn black mkaa wa mianzi KWA ajili ya dawa, kuchuja maji, mafuta nk
6.Kiwanda cha tooth sticks kutumia mianzi.
7.kuzalisha mbao za mianzi