zzk tuliza kichwa, mbona izo tuhuma zako ulizopost kama vile umepanic au ulikuwa unakimbizwa..!!! jbu hoja na izo tuhuma ndyo na wewe utoe tuhuma zako ili zijibiwe..na ulikuwa wap siku zote na wakati wote ndyo uje utoe izo tuhuma leo?! nana wasiwasi na wewe n kama mfa maji tu...ebu jiondoe chadema na ukanzishe chama chako na wewe tuone utakavyokiendesha..
 
me sio ccm wala chama chochote bali ninafuatilia siasa za Tz kwa ukaribu sana na siasa za Kimataifa kidogo.
ccm sio wazuri wanamapungufu yao,ndio maana unaona kunamabadiliko wanapokosea,
sasa hakuna chama kinachoaminika kwa sasa baada ya cdm kutokuwa na mantiki katika maamuzi mengi wanayofanya.
cdm ninafaa kiwe chama cha upinzani milele,mana kunajua namna ya kuchagiza chama tawala lakini hakijui namna ya kuongoza!
cdm hakini misingi ya kumwajibisha m2 na nicha wa2 wachache wanaofanya maamuzi.
ni bora ata NCCR washike dola kuliko cdm
 
Jamaani mi naona Mh Zitto ana tatizo kubwa la kisaikolojia na kijamii pia katika kipindi hiki. Matatizo hayo ni Fatalistic ambalo ndo kubwa sana, mengine ni anomic na ego; matatizo haya liwe mojamoja au kwa pamoja huwa ni sababu kubwa za binadamu kucomit suicide (Emile Durkheim)..! Na dalili zake huwa ni hizi tunazoziona kwa Mh Kabwe; Hivyo nawashauri waliokaribu naye wampe msaada wa kisakolojia (counceling ya hali ya juu_acop na situation/akubali anachokiona) pia asiachwe peke yake mda mrefu. Hii itasaidia tusimpoteze kaka yetu; Mungu awabariki.
 
Migogoro inasaidia kujua uwezo wa wanasiasa kifikra badala ya sifa wanazojazwa kwa maneno yao ya kinafiki.
Mipasho inayoendelea ni uthibitisho kuwa ni wapumbavu tu waliobahatika kuchaguliwa na wananchi!
Eti wanawaitwa waheshimiwa na wasomi wenye akili za kuongoza jamii!
 

Kwa nini unasema mimi ni mfuasi wa Mbowe wakati nishauchanachana vibaya sana uongozi wote wa CHADEMA, kuanzia Mwenyekiti Mbowe, Katibu Mkuu Slaa mpaka Mwanasheria wa Chama Tundu Lissu kwa kuachana na misingi ya katiba ya chama kulikopelekea Zitto kwenda mahakamani?

Hivi mtu ukimchana Zitto tu automatically unakuwa mfuasi wa Mbowe?

Kuna watu hatuangalii mtu, tunaangalia principle. Nishawachana wote, Zitto, Mbowe, Slaa, Tundu Lissu, at different times, depending on the issues.

And before you say I am CCM, CCM nao nishawachana vibaya tu, depending on the specifics of the issues.

Sasa hii one track mind ya "if you are not for Zitto, then you must be for Mbowe" unaitoa wapi?

Taratibu, Kiranga may be not overly complex, but he is surely not that much of a simpleton.
 

I think we haven't even scratched the surface.
 
Ok! Ngoja nizifuatilie hizo post zako might be nimekukosea.

Nimekuelewa mkuu unajua haya majitu ya ccm yanatia hasira sana hadi wakati mwingine waweza kuta Unakosea mtu wa kum quote ukajikuta ume mquote mzalendo watu wanahangaika na maisha gharama zinapanda kila siku wanyonge wanahangaika na maisha halafu mijitu inakuja huku kukaza misuli kudanganya watu huku mibosi yao ikiwa imetunisha vitambi kwenye viyoyozi inakula jasho la mlala hoi sorry,mkuu inatia hasira sana hii serikali ya ccm.
 
 

Usijari kamanda!

Hawa ni wakwenda nao taratibu!
 
Asante! Rudi usome Utaona msimamo wangu ukoje! Na huenda tukawa na mtizamo sawa!

Nimekuelewa mkuu unajua haya majitu ya ccm yanatia hasira sana hadi wakati mwingine waweza kuta Unakosea mtu wa kum quote ukajikuta ume mquote mzalendo watu wanahangaika na maisha gharama zinapanda kila siku wanyonge wanahangaika na maisha halafu mijitu inakuja huku kukaza misuli kudanganya watu huku mibosi yao ikiwa imetunisha vitambi kwenye viyoyozi inakula jasho la mlala hoi sorry,mkuu inatia hasira sana hii serikali ya ccm.
 
Mwenyekiti kanitia aibu yaani sijui nitaficha wapi uso wangu kwa jinsi nilivyokuwa najidai na CHADEMA yangu!

Nimefadhaika sana!
Mkuu comment zako zina niua kinoma.
 
Hasira zako mpelekee MBOWE aliye chamba 20m za Mkono na kwenda kuzikopesha kwenye sacos yenu kwa jina lake.
 
Nianona kuwa main characters wanafahamiana sana; wanafahamu kipi kikisemwa au kutendwa upande mwingine reaction yake itakuwaje. Nafikiri Tundu Lissu kauli yake ililenga reaction itakayowafungua watu tabia na matendo ya wachezaji Wakuu wa movie hii. Ndiyo maana watu husema ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri Pima kauli zako. You do not react 'reactionary' for every statement you hear or for every action yo see.

Hata hivyo ninachokiona katika yote haya ni juhudi ya kutaka kuua agenda ya ufisadi Kama ajenda ya kisiasa. Wanataka kuonyesha kuwa CCM na wapinzani wao wote ni sawa tu inapokuja kwenye suala la ufisadi. Na hii imefanyika kitambo sasa na ninaona inafanikiwa. Je ni akina nani wanafanya haya.
 
Hasira zako mpelekee MBOWE aliye chamba 20m za Mkono na kwenda kuzikopesha kwenye sacos yenu kwa jina lake.

Huna hoja wewe kima unabwabwaja tu unashikia hizo hela ulikuwepo? Au ndo uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…