cdm has lost direction and they are exposing their weakest side. tunapata ushahidi kwamba na wao ni wasanii tu,.. they dont walk the talk and perhaps will never but talk the walk only. Mungu tunusuru 2015 sijui tutapata wapi mesiah!
 
manake ni kweli anakubalina kupokea pesa kutoka ccm si kosa utapokeaje pesa kutoka kwa maadui zako za nini kama mbowe ni msafi?
 
Kumbe kweli huyu jamaa mjinga ee! alikuwa wapi asiyaseme haya!! kama aliona no tatizo?? anazidi kujiumbua tu!

Ninyi ndiyo wajinga mmeshindwa kuelewa. Huyu kajibu tuhuma walizomtuhumu. Na wao walikuwa wapi siku zote kumtuhumu kwa haya wanayomtuhumu leo??? mbona ktk zile tuhuma 11 hili la kuhongwa gari halikuwepo??? Msiwe misukule wa ku support upande mmoja kwa interest zenu tu. Jaribuni kuwa fair kwa wote. Mbowe naye mwizi tu. Chezea mchaga weye mbele ya pesa!!!
 

Ulitaka hayo maovu zito, akaya semee wapi? Si bado angesomeka msaliti Kama ilivyo sasa? Go go zito kabwe...
 
yote yanayomgusa zitto anayolilia na usaliti wake unafki wake sawa ila kwa hili la kifo cha wangwe hana msaada wowote kwani wakati wa kifo na hata katika mazishi alikuwepo pia zitto ndiye aliruhusiwa kuingia katika chumba cha upasuaji baada ya wananchi wa tarime kukataa kuzika na zitto baada ya kutoka ktk chumba cha upasuaji alikili kwa wananchi kwamba kifo cha wangwe hakihusiani na risasi na zito hakuwahi kutoa ufafanuzi zaidi kwa kutumia jina la wangwe na ulafi wake haiwezekani yeye afe kivyake
 
manake ni kweli anakubalina kupokea pesa kutoka ccm si kosa utapokeaje pesa kutoka kwa maadui zako za nini kama mbowe ni msafi?

Misukule ya cdm haioni kama hilo nalo ni la kuhoji, badala yake yanamkandamiza ZZK. Ngoja zito atoke then wataanza kumtafuta mchawi mwingine tena
 
Wengine sie hatuna chama tumebaki kuwa washabiki wa chama ambacho kitaonekana kina dalili ya kuongeza upinzani wa kweli ili kupata idadi ambayo inashabihiana kwenye vyombo vya maamuzi ili kuitia joto serikali isilale
 

mkuu cdm wanajua kuchagiza tu,hawajui kuongoza na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi,
ni maamuzi machache sana yanakuwa sahihi,sasa tukiwapa nchi si wataiuza?
 
Tumemwambia Dr. Slaa atuachie nyie VISEBENGO sisi ndo wadogo wenzenu, uwezo wa kuwaingilia hadi chooni tunao. Hamkatizi ni Kick tu kwa kwenda mbele mpaka mkamwambie yule mbunge kwa tiketi ya Mahakama kuwa mmekoma. CHOO CHA JELA we!
Jinsia yako ni ipi?
 
Kwenye matatizo magumu ndio huwa rahisi kuijua hekima ya mtu. Zitto Kabwe anachokifanya sasa cha kubwabwaja ovyo ni kwamba anajianika alivyo. Ni mtu asiye na staara hata kidogo. Huyu eti ndo anaweza kuwa mwenyekiti wa chama jamani!! Ni muda tu bado kidogo tutamjua Zitto ni mtu wa namna gani. Wahenga wa Kinyamwezi husema " Nzoka wayipizya kuwupi ilasuva ilakuluma magulu" Tafsiri yake ni kuwa " nyoka ukimwokoa asiungue moto porini baadae atakuja akuume mguuni" Hiyo ndo shukrani ya Zitto kwa chama na viongozi. Nadhani kwa kukosa hekima ya kunyamaza Zitto anajitengenezea anaongeza urefu wa kaburi lake kisiasa. Hata CCM watamuona hafai maana anaumbua chama na kutukana viongozi. huko ndio watamvumilia? ZITTO ANATAKIWA KUTAFAKARI UPYA!!!!!!!!!!
 
huwezi kuwa CCM ukawa siyo fisadi!

Ndugu yangu sikatai kuwa CCM hakuna ufisadi hupo tena sana lakini ufisadi uliopo ktk vyama vya siasa tena vinavyokuwa ruzuku ni mkubwa sana. Haya unayoyasikia ni madogo tusubiri makubwa yanakuja na kifo cha CDM kinakaribia
 
Mkuki kwa nguruwe. Akina Lissu kumtukana Zitto sawa, lakini yeye akijibu ana matatizo. Pwaaa.

Tumejua. Kumbe mnapokea hela kutoka kwa akina Rostam, halafu kwenye majukwaa mnawaita mafisadi. Tuna kazi upinzani nchi hii.
 
Guys wachaga wanaona wivu dogo anapiga ela mbaya mbele yao, mchaga na pesa utamtaka! Lazima akutoe roho. Ishu ni pesa mengine nyongeza hakuna waraka wala nyaraka kudadadek!
 
Lazima ifikie hatua tujue kamwe watu.hawawezi kuongozwa na malaika. Watu wataongozwa na watu na katika hao watu hakuna mkamilifu hata mmoja wote tunayo madhaifu yetu lakini, inapoonekana mmoja miongoni amevuka udhaifu wa kawaida wa kuweza kuchukuliana naye, haina jinsi inabidi kumwondoa. Naamini Mbowe ana personal weakness hata za chumbani anaweza kuwa nazo, kwasasa anachukulika na anao uwezo wa kuongoza watu wa namna mbalimbali kwa elimu zao, dini zao, kabila zao, ideology zao bila kuwabagua, haina maana kwamba ZZK hawezi, huenda anaweza pengine kuliko Mbowe maana hajapata huo mwanya, lakini kwa jaribu hili lililompata ZZK limemwonyesha kama mtu aliyejaa UNAFIKI mwingi ambaye anasubiri yatokee ndio alete hoja, SIKU ZOTE UKITAKA kujua mwanasiasa #MCHOVU aliyefilisika kisiasa basi ni yule mwenye kudhani kwamba siasa za Chumbani zinaweza kufanya kazi kwenye majukwaa. Mwanasiasa wa hivi kafilisika hata kama angelikuwa na uwezo wa namna gani hafai kuongoza watu wenye ideology tofauti maana yeye anadhani anaongoza malaika,ZITTO alikuwa mzuri kuongoza na kuongozwa lakini kwa sasa hawezi tena kuongozwa wala kuongoza na anachokifanya si kwamba hajui matokeo anajua tu ila anafanya makusudi, CHADEMA mmefanya kazi nzuri hadi hapa tulipo,tunaelekea kupata katiba mpya kwasababu ya MBOWE na wenzake waliokuwa radhi kuonekana ajinga mbele ya Raisi bungeni, kuliko Zitto ili tu katiba yenye utaifa wa Tanzania ipatikane, hapo hakukuhitajika siasa za chumbani kufikikisha ujumbe kwa wahusika, ZZK akajiona muungwana na kukaa kando wenzake wakaenya, ni dhahiri kwamba kijana huyu aliyejijengea heshima kwa utendaji wake hapo nyuma heshima yake ameiharibu mwenyewe hata kabla hajafika kilele cha ndoto zake
 
Nilijua atakakataa kuhongwa hayo magari, nashukuru ameuthibitishia umma kuwa ni kweli alihongwa, ijapo amekubali kwa kumpaka mtu mwingine matope, anawatilia aibu wana Kigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…