Ina maana Cdm hamna hoja nyingine ni hii ya Zitto tu? Angalieni muda wenzenu wanafanya kampeni nyie mnamfikiria Zitto.

Nahisi mkishamaliza inshu ya Zitto mtahamia kwa Msando kwa kumtetea mteja wake. Teh teh teh..

Leteni hoja acheni ngonjera nchi iko gizani hii AMSHENI FIKRA.
 
Whatever the case Zitto anatoka hatakiwi Chadema kwa gharama yeyote simple.
 
ZZK amempiga chini ya mkanda DJ MBOWE sasa watetezi wake mnaona alivyobaki uchi, na tunayo mengi ya MBOWE tunasubiri muda mwafaka , 2014 mtaisikia na SACCOS yenu yenye viongozi makengeza na VIBABU wazinzi.

Sielewi ni kwanini ccm wote wapo nyuma ya Zitto, kuna nini?
 
Hao mnamtetea ZZK si mumchukue? Ndo ujue ccm ni chama ambacho kinatumia akili nyingi sn ila tumejua janja yao, km mnaona ZZK ni muhim sn mchukueni? Kila kukicha ni chadema na ZZK yao yanawashinda
 
Phd yako ni ya ukilaza? CDM sio ya Mbowe wala Ztto. Chaguzi za chama zinakuja 2014. Chama kitapata viongozi waadilifu na wenye sifa
 

Mkuu nina imani Zitto anapenda kuendelea kuishi. Hawezi kula pesa za CCM halafu asitimize terms of reference alizopewa na Wassira na Mwigulu. Asipotimiza alichotumwa anaujua muziki wake kwani yaliyompata Wangwe Zitto anayajua vizuri sana. Ukila pesa ya CCM na lengo lisitimie wanakutanguliza kuzimu.

Acha atimize wajibu wake lakini historia itamhukukmu.

Tiba
 

Hadi kizazi cha watu wenye akili butu kama yako waishe kabisa hapa nchini.Unawezaje kushindwa kujua historia ya jinsi ccm inavyotumia mamluki kuua vyama na kuunganisha matukio yote yanayomhusu zzk kuonyesha upinzani wa wazi kwa chama chake mwenyewe?Aliyekiri kuuandaa waraka ni swahiba wa zzk kitila mkumbo wewe utasemaje ni ccm?zzk alijua alichokitaka na alidhani angefanikiwa kirahisi kuidhoofisha kabisa CDM lakini tayari amejimaliza mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Amebaki ni mbunge wa mahakama na facebook ...amekuwa na tamaa ya mzee fisi na hayo ndo yaliyompata, CCM mpeni uwaziri panya wenu sie tushamaliza kazi
 

Team mbowe at work
 

Tukimpa urais nani atakuwa first lady?
 
Sielewi ni kwanini ccm wote wapo nyuma ya Zitto, kuna nini?

CCM wako nyuma ya Zitto kwa kuwa wanaona anaelekea kufanikisha kazi waliyomtuma. Lazima wachochee kuni moto uwe mkubwa zaidi, CDM isambaratike halafu wapite uchaguzi wa 2015 kama vile wanakunywa togwa.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…