Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Matusi ni nini?
Yapo ya NGUONI na ya UPENUNI..........hapa yanaongelewa ya UPENUNI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi ni nini?
Ukiwa muongo, usiwe msahaulifu! Tazama video kamanda Zitto akitema madini Igunga!
Zitto afunika Igunga - YouTube

akili mgando tu ndio zitasapoti ujinga huu kwenye mada hii
Mbona mnapenda kulalamika sana.
Whatever the case Zitto anatoka hatakiwi Chadema kwa gharama yeyote simple.Mimi Ninachojua Ni Kwamba ZZK Alikuwa Na Majukumu Mengi Sana Ya Kitaifa. Sasa Ccm Wakawa Wanampa Kazi Na Kumbana Sana Ili Asishiriki Katika Oparation Za Chama. Kwa Kuwa Ni Mtaifa Zitto Hakuwa Na Jinsi, Aliweka Uchama Kando Na Kulitumikia Taifa. Lakini Kumbe CCM Walifanya Hivi Ili Kumpunguzia Ushiriki Wake Katika Shughuli Za Chama. Mfano Wakati Kamati Kuu Ilipo Keti Zito Alitumwa Sudani, Lakini Alirudi Na Kuhudhuria Usiku Huo Huo. CCM Inawatu Wanao Fikiria Saaana. Kumkeep Bussy Zito Walitaka Wamchonganishe Na Chadema, Na Leo Hii Wamefanikiwa Chadema Hamuoni! Kwa Sasa Matarajio Ya Kushinda Uchaguzi Mkuu Hayapo Kwa Jambo Dogo Kama Hili! Tunarudishana Nyuma Kwa Kushindwa Kufikiri! Ona Wakaandaa Na Waraka, Hapo Ndo Wakawamaliza Kabisa Na Kukiri Kuwa Zitto Ni Msaliti, Mkimtoa Zitto Direction Ya Upinzani Itageuka 2015, Na Sijui Nilini Nchi Hii Itatulia Na Kuwa Na Upinzani Imara! Labda Ni Hadi Ccm Igawanyike Kama Alivyo Sema Nyerere
ZZK amempiga chini ya mkanda DJ MBOWE sasa watetezi wake mnaona alivyobaki uchi, na tunayo mengi ya MBOWE tunasubiri muda mwafaka , 2014 mtaisikia na SACCOS yenu yenye viongozi makengeza na VIBABU wazinzi.
Wana JF,
Kama kuna jambo ambalo binadamu wa kawaida akiliona atashangaa basi ni haya anayofanya Zitto ndani ya Chadema!
Zitto Kabwe ni kiutuko ndani ya siasa!
Mwaka 2010 wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais pale Jangwani Zitto aliingia mitini.Kwa kumlea Mwenyekiti akasema Zitto amepewa jukumu la kufanya uzinduzi Kigoma, hakuna alichofanya Zitto.
Kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga Zitto hakukanyaga...Dr. Slaa kwa kumlinda akasoma ujumbe ambao Zitto alipost facebook kuomba wanaigunga wamchague Kashindye!
Uchaguzi mdogo wa Arumeru hakwenda kabisa na badala yake akiwa Kigoma akatangaza kuwania Urais mwaka 2015 huku akijua (kutokana na katiba ya sasa) hana sifa ukiangalia umri!
Kwenye tukio la bomu mkutano wa Chadema Zitto alitoka Dodoma akakimbilia Dar!! Haya yote anayafanya akiwa kiongozi wa Chadema!!!
Zitto leo anatukana watu waliomlea kupitia mitandao ya kijamii!!
Zitto ni binadamu wa aina gani?
Zitto amewahi kupata kashfa nyingi lakini Mbowe amekuwa akimshauri, leo anamtukana.
Ndugu yangu Zitto; Uenyekiti unautaka umuongoze nani wakati kwenye shughuli muhimu za chama unaingia mitini?
Kama ni urais unataka huku ukijua huna sifa kikatiba mbona hukugombea 2005 na/au 2010?
Zitto ni mfano mbaya sana na hastahili kuigwa!
Mimi Ninachojua Ni Kwamba ZZK Alikuwa Na Majukumu Mengi Sana Ya Kitaifa. Sasa Ccm Wakawa Wanampa Kazi Na Kumbana Sana Ili Asishiriki Katika Oparation Za Chama. Kwa Kuwa Ni Mtaifa Zitto Hakuwa Na Jinsi, Aliweka Uchama Kando Na Kulitumikia Taifa. Lakini Kumbe CCM Walifanya Hivi Ili Kumpunguzia Ushiriki Wake Katika Shughuli Za Chama. Mfano Wakati Kamati Kuu Ilipo Keti Zito Alitumwa Sudani, Lakini Alirudi Na Kuhudhuria Usiku Huo Huo. CCM Inawatu Wanao Fikiria Saaana. Kumkeep Bussy Zito Walitaka Wamchonganishe Na Chadema, Na Leo Hii Wamefanikiwa Chadema Hamuoni! Kwa Sasa Matarajio Ya Kushinda Uchaguzi Mkuu Hayapo Kwa Jambo Dogo Kama Hili! Tunarudishana Nyuma Kwa Kushindwa Kufikiri! Ona Wakaandaa Na Waraka, Hapo Ndo Wakawamaliza Kabisa Na Kukiri Kuwa Zitto Ni Msaliti, Mkimtoa Zitto Direction Ya Upinzani Itageuka 2015, Na Sijui Nilini Nchi Hii Itatulia Na Kuwa Na Upinzani Imara! Labda Ni Hadi Ccm Igawanyike Kama Alivyo Sema Nyerere
Wana JF,
Kama kuna jambo ambalo binadamu wa kawaida akiliona atashangaa basi ni haya anayofanya Zitto ndani ya Chadema!
Zitto Kabwe ni kiutuko ndani ya siasa!
Mwaka 2010 wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais pale Jangwani Zitto aliingia mitini.Kwa kumlea Mwenyekiti akasema Zitto amepewa jukumu la kufanya uzinduzi Kigoma, hakuna alichofanya Zitto.
Kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga Zitto hakukanyaga...Dr. Slaa kwa kumlinda akasoma ujumbe ambao Zitto alipost facebook kuomba wanaigunga wamchague Kashindye!
Uchaguzi mdogo wa Arumeru hakwenda kabisa na badala yake akiwa Kigoma akatangaza kuwania Urais mwaka 2015 huku akijua (kutokana na katiba ya sasa) hana sifa ukiangalia umri!
Kwenye tukio la bomu mkutano wa Chadema Zitto alitoka Dodoma akakimbilia Dar!! Haya yote anayafanya akiwa kiongozi wa Chadema!!!
Zitto leo anatukana watu waliomlea kupitia mitandao ya kijamii!!
Zitto ni binadamu wa aina gani?
Zitto amewahi kupata kashfa nyingi lakini Mbowe amekuwa akimshauri, leo anamtukana.
Ndugu yangu Zitto; Uenyekiti unautaka umuongoze nani wakati kwenye shughuli muhimu za chama unaingia mitini?
Kama ni urais unataka huku ukijua huna sifa kikatiba mbona hukugombea 2005 na/au 2010?
Zitto ni mfano mbaya sana na hastahili kuigwa!
Wana JF,
Kama kuna jambo ambalo binadamu wa kawaida akiliona atashangaa basi ni haya anayofanya Zitto ndani ya Chadema!
Zitto Kabwe ni kiutuko ndani ya siasa!
Mwaka 2010 wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais pale Jangwani Zitto aliingia mitini.Kwa kumlea Mwenyekiti akasema Zitto amepewa jukumu la kufanya uzinduzi Kigoma, hakuna alichofanya Zitto.
Kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga Zitto hakukanyaga...Dr. Slaa kwa kumlinda akasoma ujumbe ambao Zitto alipost facebook kuomba wanaigunga wamchague Kashindye!
Uchaguzi mdogo wa Arumeru hakwenda kabisa na badala yake akiwa Kigoma akatangaza kuwania Urais mwaka 2015 huku akijua (kutokana na katiba ya sasa) hana sifa ukiangalia umri!
Kwenye tukio la bomu mkutano wa Chadema Zitto alitoka Dodoma akakimbilia Dar!! Haya yote anayafanya akiwa kiongozi wa Chadema!!!
Zitto leo anatukana watu waliomlea kupitia mitandao ya kijamii!!
Zitto ni binadamu wa aina gani?
Zitto amewahi kupata kashfa nyingi lakini Mbowe amekuwa akimshauri, leo anamtukana.
Ndugu yangu Zitto; Uenyekiti unautaka umuongoze nani wakati kwenye shughuli muhimu za chama unaingia mitini?
Kama ni urais unataka huku ukijua huna sifa kikatiba mbona hukugombea 2005 na/au 2010?
Zitto ni mfano mbaya sana na hastahili kuigwa!
Sielewi ni kwanini ccm wote wapo nyuma ya Zitto, kuna nini?