Mwizi ni mwizi tu. Angalia alivyo iuza chadema kwa bei cheeeee. Miaka 20 umekijenga chama unakuja kukiua kwa kuuza kwa bei cheeee.
Siku zote nimekuwa nikisema chadema si chama, ni biashara ya Mtei na mkwewe Mbowe.
Walichokiuza ni zaidi ya chama, wameuza utu wao na wa wote wale waliokuwa wanadhani wanashabikia chama, masikini wanaodanganywa wasiojijuwa.
Niliwahi kumuasa
Zitto zamani sana kabla ya kung'olewa kupitia hapa hapa JF, kuwa hao watakugeuka.
Niliwahi kumuasa Slaa, tena nilitumia utani kumwambia wewe ni Mwarabu (kabila lake nijuavyo ni mu Iraqw). Hao wachagga hawawezzi kukuthamini hata kidogo - Sasa yametimia.
Pia nimemuasa mara kadhaa
Mohamedi Mtoi, sijuwi hatima yake ni nini, maanaa naona yuko kimya sana siku hizi.
Sasa nnamuasa pia yule kijana wa Kiunguja Salum, atatumiwa kama nanihii, ikiisha kazi yake wanaupilia mbali tena bila haya wala hisani. Ni watu waovu kabisa.
Siku hizi simsikii kabisa Naibu Mwenye kiti yule Muunguja, sijuwi na yeye wamesha kick-out kimya kimya?
Chadema si chama cha kisiasa, ni maslahi ya kuchuma pesa kwa njia yoyote ile kwa Mbowe na Mtei.