DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Funguka ZZK,funguka,ndio usaliti wako unapoonekana,mbona hayo yote hukuwahi kuyasema?Kwa hiyo mafisadi kama wako CDM unawafumbia macho,mnafiki mkubwa,yako wapi ulivyokuwa unajipambanua unapiga vita rushwa,kumbe umewafuga ndani ya chama;unasubiri wanamwaga mboga unamwaga ugali!!Unajidhalilisha tu Zito,its better u shut up!!Kumbe kweli --------- kwa kuwa wakubwa zako ----------,utateteaje tena mali za Umma Zito kama sio unafiki?!
Aligundua kuwa jamaa ni mafisadi ndio maana akaandaa mkakati wa mabadiliko 2013, badala yake kaitwa msaliti na mhaini.