MARCKO
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 2,258
- 275
ukabila mbaya sana ona unavyoharibu chama
Slaa ni Muiraq...... mimi ni Maasai. Wote ni CDM. Ukabila upi unazungumzia wewe mwaenye nia mbaya kuiharibu TZ.
kafie distance.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukabila mbaya sana ona unavyoharibu chama
Kwa hiyo Zitto akijua uchafu wao tufanyeje? Biblia inasemaje kuhusu uzinifu? Tupe jina la kitabu, haya na mstari kama una akili. Ukimaliza tueleze kwa nini Zitto macho yake yanaona uchafu wa viongozi wa CDM tu. Yakienda Uswiz yanaona dollar. Ukieleza hayo, nta debate na wewe. Vinginevyo huna hoja.
Heri yangu sina chama
Hahahahaha daa ndugu zang hapa tz hamna mzarendo wa kweri wote hao ni wanafiki.heb 2 bebe majembe 2kalime
Kidema ni wasanii wakubwa.wamuulize kaka yao Mleama.Matawi ya kidema ni ya chini tu.hivi Mzito ni mwanasheria hadi afanye internalship kwa Mh Mkono?ukweli Kidema kiondoe ndoto za Mjengoni.wananyiana uhaini sasa wakiwa vivuli je niwatu wa kuaminiwa?Zitto anayo mengi kifuani kwake. Ngoma inogile
kwa hiyo mbio zetu zoote za pipo power ndio zinaishia hapa??? kweli???
Hebu tuendeleze chama jamani, miradi mingi ya CCM inapamba moto sasa hivi kwa sababu wanajua wakilegea wananchi wana option nyingine come 2015...
CDM ikifa leo tutarudi kule kule kwenye list za mikakati, mipango madhubuti na michakato kama ilivyokuwa miaka 10 iliyopita....kwa sababu hakutakuwa na accountability wala mtu wa kuwa nyooshea vidole.
tunahitaji uwepo wa CDM na sio lazima muende ikulu leo, bungeni tu na mtaani panatosha sana kuwawajibisha CCCM, huko ikulu mnaweza kwenda baadae
Kidema ni wasanii wakubwa.wamuulize kaka yao Mleama.Matawi ya kidema ni ya chini tu.hivi Mzito ni mwanasheria hadi afanye internalship kwa Mh Mkono?ukweli Kidema kiondoe ndoto za Mjengoni.wananyiana uhaini sasa wakiwa vivuli je niwatu wa kuaminiwa?
Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later.
Original post:
Revised Post:
Kutoka Gazeti la Raia Tanzania
Huu ndo ukweli,kwanza katika hali ya kawaida utoe Rushwa halafu unawezaje kusema hadharani?
TL mbowe kakupoteza na hiwezi siasa
ZZK siku akianza mipasho mtakimbiana CDM kwa sababu anazijua issue zenu kuanzia A to Z