Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

Mkuu, kama wewe kweli una akili na unaipenda CHADEMA, hivi huoni mantiki ya ZITTO KABWE kugombea urais badala ya watu ambao wamechoka kimwili na kisiasa?
 
Mbona Zitto hamumshirikishi?, maana jimboni Hai hamkumpa fursa na sasa Tarime hivyo hivyo.
 
Au Ben akisema sauti ya watu uwa ana maanisha sauti ya Mbowe?
 
hamy-d anachokoza tu anajua kitu kama hicho hakiwezekani ndani ya chama cha wana wa kaskazini. Ni heri nassary akapata hiki cheo kuliko huyu kijana mwenye uwezomkubwa wa kukwepa kuwekewa sumu. Wakimshindwa watamuondoaje?

kiazi.
 
Kila nikiangalia kibichwa chako nalinganisha na akili yako ya mtindio wa akili

hahahaaaa, we kama unamwona HAMY-D ana utindio wa ubongo. wakubwa zako akina slaa wanamhara sana na sasa wanahangaika kumfahamu. kuna bajeti kubwa imetengwa ili apatikane kwa malengo yasiyojulikana
 
HAMY-D anachokoza tu anajua kitu kama hicho hakiwezekani ndani ya chama cha wana wa Kaskazini. Ni heri NASSARY akapata hiki cheo kuliko huyu kijana mwenye uwezomkubwa wa kukwepa kuwekewa sumu. Wakimshindwa watamuondoaje?

Kiazi.
 
saidia kurekebisha matatizo ya uongozi uliopo kama yapo na kweli wewe huna hoja mficho!
 
Pro-ccm hamsukumwi na uzalendo wala itikadi ya chama ila DINI. Slaa anapingwakwa ukatoliki wake. Zito, anafagiliwa kwa uislamu wake wala si uwezo. Na harakati alizoendesha za kupindua uongozi wa CDM ilikuwa kutimiza malengo haya. Ni UDINI tu!... Pro CCM mnamwona Zitto tu ndani yas CHADEMA. Hata CCM mtaikimbia tu atakapogombea mkristo kama Lowasa.
 
Angekuwa na hoja wangemhara lakini mimi naongelea hoja zake zisizo na akili, yaani kama mtu mwenye mtidio anaandika vile.

hahahaaaa, we kama unamwona HAMY-D ana utindio wa ubongo. wakubwa zako akina slaa wanamhara sana na sasa wanahangaika kumfahamu. kuna bajeti kubwa imetengwa ili apatikane kwa malengo yasiyojulikana
 
Hata Mimi Kura yangu itanda Cdm ikiwa Zito atakuwa mwenyekiti ni kijana jasiri Tupo Wengi tunaemsapoti Zito mungu ampe Umri mrefu na afya njema
 
HAMY D WA MIPASHO,, HAUWEZI KUIVURUGA CDM KWA STAIL HII,,, WANAJAMVI KAMA MMEMWELEWA UYU KILAZA , HANA JEMA NA CDM HATA KIDOGO,,WE NI GAMBA TU HAMy
 
Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Ponda anaendeleaje?
 
Ndg,unasikitisha sana yaan umezoea kuchagua chama na sasa unatushawish utachagua chama!je uu ndio uzalendo?
 
Mbona Zitto hamumshirikishi?, maana jimboni Hai hamkumpa fursa na sasa Tarime hivyo hivyo.

Wewe ni msemaji wake?Viongozi wanashirikishwa na nani?

Sijui unamaanisha nini au mkuu unamaanisha kwamba Chadema kinafanya mwaliko wa kushirikishana kupitia kadi kama za harusi au sendoff.? This is crazy ! ! !
 
hahahaaaa, we kama unamwona HAMY-D ana utindio wa ubongo. wakubwa zako akina slaa wanamhara sana na sasa wanahangaika kumfahamu. kuna bajeti kubwa imetengwa ili apatikane kwa malengo yasiyojulikana

Kweli wewe hamnazo,hakutafutwa TUNTEMEKE mpaka pale walipojianika wenyewe,itakuwa hawa maajenti wa
Mwigulu,ambao tayari wameshakosa thamani hata huko ccm!!!!!!!!!!
 
Sijasema naamia CHADEMA, nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba ieleweke hivyo.
Huna kinachokusukuma kwa Zitto zaidi udini wewe,nani asiekujua wewe mdini,juzi Zitto bila kujua akiwashutumu askari kumua Shekhe Ponda at the same Ben Sir8 akaonyeshwa kusikitishwa na hatua za polis kumpiga risasi Ponda na hakusema wamemuua,chakushangaza ulimwacha Zitto ukampa makavu Sir8 tena kwa kumwambia "stay away frm muslim is non of u'r business",..wewe ni mdini tena taka kabisa.,hatutaki watu wadini kama wewe hata kura yako hatuitaki..,kafie mbele.
 
Wewe ni msemaji wake?Viongozi wanashirikishwa na nani?

Sijui unamaanisha nini au mkuu unamaanisha kwamba Chadema kinafanya mwaliko wa kushirikishana kupitia kadi kama za harusi au sendoff.? This is crazy ! ! !

Usijitoe uelewa wewe Ben, hivi hujui ni kwa namna gani viongozi uwa wanafanya kazi kama team?, kwa ufupi ni kwamba Zitto hapati ushirikiano kutoka kwa mwenyekiti na katibu mkuu wa CHADEMA, sasa sijui sababu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…