Hivi nyie mlishindwa kufanikisha malengo ya kumpromote huyo mtu wenu mkiwa ndani,mnajidanganyaAcheni basi kumnyanyapa Zitto kwa dini yake na ukanda aliotoka, maana nimepewa taarifa kuwa hata kwenye M4C ashirikishwi kabisa. Juzi Mbowe na Lema walikuwa Hai, Leo Mbowe yuko na Mnyika, Dr Slaa nae ndio hamtaki Zitto. Sasa kwanini Zitto hatakiwi na viongozi wa CHADEMA ilhali ana uwezo mkubwa kulinganisha mtu yeyote CHADEMA?
Kwa nini mnapendekeza Zitto awe mwenyekiti kwenye chama kisichowahusu? Jibu ni UDINI. Baada ya kikwete nani awe mwenyekiti? Jibu ni kinana. Kwa nini? Jibu ni MWISLAMU!!..Acheni basi kumnyanyapa Zitto kwa dini yake na ukanda aliotoka, maana nimepewa taarifa kuwa hata kwenye M4C ashirikishwi kabisa. Juzi Mbowe na Lema walikuwa Hai, Leo Mbowe yuko na Mnyika, Dr Slaa nae ndio hamtaki Zitto. Sasa kwanini Zitto hatakiwi na viongozi wa CHADEMA ilhali ana uwezo mkubwa kulinganisha mtu yeyote CHADEMA?
Kwa nini mmeajiriwa kumpinga Slaa mitandaoni usiku na mchana.. Ni udini tu!Usijitoe uelewa wewe Ben, hivi hujui ni kwa namna gani viongozi uwa wanafanya kazi kama team?, kwa ufupi ni kwamba Zitto hapati ushirikiano kutoka kwa mwenyekiti na katibu mkuu wa CHADEMA, sasa sijui sababu ni nini?
Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Allah kamuokoa Shekhe Ponda kwani CCM walikusudia kumwua..,nani asiejua mpango wa ccm kuwafanya waislam vibaraka wa umaskini..Kwani yeye ni Mkristo au wa kaskazini
Mbea utamjua tu,wewe utakuwa mke wa Zitto anakuadidhiaga chumbani kwamba chadema hawampiushirikiano...,Mrs ZittoUsijitoe uelewa wewe Ben, hivi hujui ni kwa namna gani viongozi uwa wanafanya kazi kama team?, kwa ufupi ni kwamba Zitto hapati ushirikiano kutoka kwa mwenyekiti na katibu mkuu wa CHADEMA, sasa sijui sababu ni nini?
Sijasema naamia CHADEMA, nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba ieleweke hivyo.
Zito hawezi kupewa uenyekiti wa chadema make hawamjui wenye chama,labda kama jua litageuke liwe mwezi na mwezi uwe jua.Zitto kupewa uenyekiti labla akubali kubatitwa kwanza.
Sijasema naamia CHADEMA, nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba ieleweke hivyo.
Mbea utamjua tu,wewe utakuwa mke wa Zitto anakuadidhiaga chumbani kwamba chadema hawampiushirikiano...,Mrs Zitto
Chadema haihitaji kura yako hata moja au zote! Who the hell you think you are??? Huwezi ukaishauri Cdm nini cha kufanya because ushauri wako hauhitajiki!
Zito kunasiku atawaumbua watanzania wanamjua kazi yake kunasiku ataibukia kokote kule na watu watamfuata.Acheni basi kumnyanyapa Zitto kwa dini yake na ukanda aliotoka, maana nimepewa taarifa kuwa hata kwenye M4C ashirikishwi kabisa. Juzi Mbowe na Lema walikuwa Hai, Leo Mbowe yuko na Mnyika, Dr Slaa nae ndio hamtaki Zitto. Sasa kwanini Zitto hatakiwi na viongozi wa CHADEMA ilhali ana uwezo mkubwa kulinganisha mtu yeyote CHADEMA?
Mkuu, hilo la ZITTO kutopewa ushirikiano na viongozi wengine ndani ya CDM linahitaji taarifa za siri? mbona kila kitu kiko wazi kabisa. au mnajitia uziwi na upofu
Zito kunasiku atawaumbua watanzania wanamjua kazi yake kunasiku ataibukia kokote kule na watu watamfuata.