Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

Kifo ni ukweli ulio wazi...Leo sio Siri nipo natafakari
so natafakari sana siku Moja ni zamu yetu sisi.....
 
Kama alivyowaambia wanaompenda JPM wakazikwe jirani na kaburi lake hata yeye(Zitto) aliambiwa kama anampenda sana Mama yake mzazi akazikwe jirani na huyo MAMA yake lakini bado naona yupo tu mtaani, ina maana hakuwa anampenda mama yake mzazi?
 
Baba hakuwa na cheo Wala Dola!
Yule MUNGU wenu wa chattle kamlilieni
Ingawa sio kile unamaanisha moyoni, ni vema tumia herufi ndogo unapotaja miungu isiyofahamika, tumia herufi ndogo ili uonekane unautani na miungu ambayo haiwezi kukudhuru

Unapotumia herufi kubwa ukimaanisha miungu, ni kutoa kufuru kwa Mwenyezi Mungu

Tania atakavyo kuhusu miungu, ila usilete utani na jina la Mungu/MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…