Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

Wale wapuuzi na upuuzi aliokua anauongelea zitto ni wakina nani na walikua wanafanya nini mpaka membe akawakomesha!!?
 
Ayatolla leo kachekesha sana hotuba ya kijinga kabisa.
 

Yaani mtalazimisha kujifariji sana, lakini ukweli ni kuwa dhalimu wa chattle alikuwa anajifanya mungu mtu na sasa hivi hayupo. Huyo Membe hakuwa na madhara yoyote wala sio kifo kilichogusa wengi. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Aliwaacha lakini historia yake hamtaifikia. Ni miongoni mwa Marais Watano wa Tanzania mpaka sasa, nyinyi mmekomea kugombea tu

Kuwa rais wa Tanzania nayo ni sifa ya kihivyo, je angekuwa rais wa US si mngependa watu vichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…