Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

Ayatolla leo kachekesha sana hotuba ya kijinga kabisa.
Aisee, niaibu sana.
Yani mtu anapata nafasi yakuongea mbele ya kiongozi mkuu na uma unamsikiliza alafu anaongea mambo ya kipuuzi puuzi.
Msibani watu wenye akili wanatulia na kuongea maneno mazuri ya faraja kwa wafiwa nk.
Yeye ameongea kwa mihemko sana bila aibu.
 
Kama ukoo wako unavyoshukuru baba yako mchawi alivyo kufa alikuwa anatafuna mimba za ukoo
 
Zilizomhusu JPM hazikuwa hate thread, siyo?!

Sidhani kama wanaona hivyo, au Tuulizane tu, Tumeona wapi Korosho imejikunjua? Roho zingine huwa ni nafiki punde huzaliwa.

Hii ni nukuu ya hoja yao kuhusu "Thread" au Chuki walizoziasisi........................
================ "labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu wenzake, yaani awe muuaji, au kama binadamu huyo uwepo wake huwafanya binadamu wenzake wasiwe na amani, waishi kwa hofu, yaani awe ni hatari kwa amani na ustawi wa binadamu wenzake"===============================
Mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo huwa yanatumika na wale wanaona wana mamlaka juu ya Vikundi au Watu wasiofanana nao au wanaona kuwa(wanaowaita wadhaifu) wanahitaji mkombozi, na mara nyingi hufuatiwa na aya au mistari ya Biblia kuonyesha mamlaka wanayopata kunena walichokinena.

Naamini, Watanzania na Wananchi kwa ujumla huwa wanawakodolea hawa maharamia kwa tahadhari kubwa kuliko za kawaida.

Amani iwafikie.
 
Aliwaacha lakini historia yake hamtaifikia. Ni miongoni mwa Marais Watano wa Tanzania mpaka sasa, nyinyi mmekomea kugombea tu
Kiaje tutaishia kugombea TU? Jk hakuwa rais? Samia hajapewa cheo na MUNGU?

Nyie ndio msubiti 2025 tutawakata majina huko Dodoma mpaka mkome
Sukuma gang out
 
PIa wanaweza kumkata kichwa kikazikwe karibu na kaburi la mama yake huko Kigoma na kiwiliwili kikazikwe karibu na kaburi la Membe kule Rondo, Lindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…