Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Ni mbovu sn hafai amejaa udini tupu
 
Umechanganyikiwa hv dini inaumuhimu gani kwa Mwafrika
Tuwaulize nyie wakristo, kinachofanya mtake hii Nchi waongoze wakristo tu Ni kitu gani haswa? Ilhali kiongozi akiwa mkristo Hadi mauaji yanaongezeka,na pia wanatawala kwa mkono wa chuma!
 
Hiyo ni kujishtukia tu, wala hakuna aliye na time na dini ya mtu, watu tunaangalia utendaji. Kwa hiyo ulitaka wanyama hai wasafirishwe tu kisa mishahara imepanda? Au kisa watu wameacha kutekwa? Kosa la mmoja halihalalishi kosa la mwingine, kila moja litakemewa kivyake
 
Punguza povu haita saidia hii.
 
Tuwaulize nyie wakristo, kinachofanya mtake hii Nchi waongoze wakristo tu Ni kitu gani haswa? Ilhali kiongozi akiwa mkristo Hadi mauaji yanaongezeka,na pia wanatawala kwa mkono wa chuma!
Unatumia nguvu kubwa kutaka kuhalalisha uovu. Kosa la mtu mmoja halihalalishi kosa la mtu mwingine
 

Wanaosema upe muda nafasi hawajakosea. Ona sasa baada ya kuishiwa hoja anaanza kuongea kitu ambacho hata hakiko moyoni mwa waTanzania.
Ukiona mtu anaanza kuongelea, huyo tayari kafirisika kichwani.
 
Hata mimi naona hivyo pia, Sioni afya ya nchi hii ikiongozwa na waislamu japo mimi ni muislamu. Siwapendi warabu hata kidogo. Ni wanafiki mno kama sisi wafrika.
Kwahiyo kumbe unajichukia wewe mwenyewe pia !!
 
Solution ni Partition tu kama India na Pakistan, binafsi siamini kama Muslims na Christians wanaweza kuiva chungu kimoja!
 
We mpumbavu utatuua sisi Binadamu wenzio kwa kutetea ujinga huu, walimsema wapi?

Vielelezo vya walivyomsema viko wapi uviambatanishe hapa?

Takwimu za waliomsema ni kwa asilimia ngapi kati ya wa-TZ M 60? ili kuthibitisha kauli ya wa-TZ kuwa na udini kwa Mama yetu Rais kipenzi SSH.

Acha upumbavu wewe, hakuna afya ya udini popote pale duniani.
 
Mtu Kama zitto KWa Sasa nikuanza kumpuuza tu impact yake katika maslahi mapana ya nchi KWa Sasa sio kipaumbele chake, kipaumbele chake anakijua yeye na watu wake wa karibu,
Anataka kufanya watu wajinga kwamba Tz ndo Mara ya KWANZA kuongozwa na muislam, vipi kikwete, Mzee mwinyi?
Watu wanazungumzia kuuza wanyama wetu nje yeye anakuja na propaganda nyepesi hapa
 
Shangazi yenu Fatma nae analalamika udini uwenda kuna ukweli sasa.
 
Solution ni Partition tu kama India na Pakistan, binafsi siamini kama Muslims na Christians wanaweza kuiva chungu kimoja!
Tuliiva chungu kimoja tangu enzi na enzi hatuwezi kuja kutenganishwa na baadhi ya vijana uchwara wasiojitambua !! After all hizi dini zililetwa na wageni tu kutoka nje!! Walipokuja waliwakuta wenyeji wanaabudu vile walivyokuwa wanaviamini na maisha yalikuwa yanaenda !! Ukraine na Russia ni dini moja lakini wanadundana kama lote !! Tafakari chukua hatua !!
 
Wanaoongoza kumpiga vita ni Waislamu wenzie. Kundi kubwa likiwa ni la wanaume.
 
Ni aibu sana kauli kama hiyo kutolewa na msomi.

Zitto ni msomi? Kati ya wasomi unaweza mtaja Zitto?
Zitto ni hooligan tu, hana maana, jinsi alimtukana the Late Magufuli matusi makubwa eti wanaompenda wakazikwe nae Chato, ile kauli ilitosha kumkamata na kumfungulia mashtaka na kumfunga, mbona yeye Zitto Mama yake alivyokufa hakuzikwa nae?

Nisikilizeni kwa makini, Zitto ukiacha udini, ni mnafiki na kinyonga sana kwa kila kitu, subirini Mama Samia amalize muda wake, Zitto atamtolea maneno ya hovyo hamtaamini, sbb tabia ya mtu haijifichi. Zitto is arrogant naturally, i think sbb ya kabila lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…