Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Hata mimi naona hivyo pia, Sioni afya ya nchi hii ikiongozwa na waislamu japo mimi ni muislamu. Siwapendi warabu hata kidogo. Ni wanafiki mno kama sisi wafrika.
Very true mm baba ni muislamu mama ni mkristo ....ni ukweli waislumu kuongoza nchi wanaturudisha nyuma kila mara tazama maraisi wakristo tz na waislum tz hakuna mzalendo hata mmoja katika marais wa tz waislamu wote wanasujudia mabeberu na waarabu
 
Una element za udini.
 
Huyo kapata laana ya JPM na laana ya JPM ndiyo hii kuwa chukia watz na tz kwa sababu ya kumchukia JPM ni kama laana aliyo nayo NAPE
 
Tukumbuke Huyu Zitto amewahi kuunda kundi la ",kigoma all stars" na kuchanganya ukanda,watu walikemea Hilo jambo,sasa kahamia kwenye Udini.
 
Siku hizi JF of GT's imejaa midomo ya bata, watu wanapayukapayuka hovyohovyo dhidi ya wenzao ili mradi waonekane ni wazalendo.
 
Mama anachukiwa hata na waislamu kwa sababu anasujudia mabeberu tena hao mabeberu ni wakristo tofauti kabisa na jpm ...jpm alikuwa anapingana na mabeberu ya kikristo madini yetu yaliyo kamatwa bandarini yalikuwa chini ya mabeberu wa kikristo na kama kuna watu walimchukia Magufuli sana ni mabeberu wakristo na JPM alipendwa na mataifa mengi yenye waislamu kuanzia somalia ,nigeria , nk hivyo usitufanye sisi wajinga. Sa 100 ana chukiwa kwa upumbavu wake mwenyewe ....mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe..
 
Huu wa zito nao ni upuuzi tuu..

Sidhani hoja kama ni wanyama kuuzwa bali je kuna sababu za kufanya hivyo?

Udini unaingiaje?

Tzn na Africa mambo ya udini na ukabila yana nguvu kuliko akili za watu.
 
Nijibu kwanini jpm alichukiwa na mabeberu ya kikristo hapo utajua kwanini waislamu wengi wa tz na nchi nyingine walimpenda JPM
 
Kama kweli kaandika yeye ajitathimini kama kweli ni mwana halisi wa nchii au anatumika.

Asitugawe.
 
Tz tunataka rais MZALENDO SIYO HABARI ZA UISLAMU AU UKRISTO ..Jpm alipendwa hadi na waislamu kwa sababu ya uzalendo na alichukiwa hadi na wakristo kwa sababu ya uzalendo. Rais wa hivyo ndiye tuna mtaka
 
Zitto yupo kimkakati, yaani anachofanya ni kuwarushia ndoano mhangaike nayo as amefanya.

Hiyo ni njia ya kutafuta wapiga kura wajinga wasio na uelewa, watakaosema kumbe wakristo wanatuchukia ngoja niungane na muislam mwenzangu!.
 
Iyo ni propaganda hata kama zitto simwelewi hawezi kusema uchafu huo acheni kusingizia watu
mbona unamsaidia kukanusha kwani yeye hana mdono?mbona kutwa anashinda humu ndani!tunaomjua zitto tumenyamaza na wasiomjua ndo wanapanua midomo.inawezekana pia JPM alikuwa muislamu!
 
Jifunzeni kuthibitisha habari kabla ya ku accuse watu hasa nyakati hizi za Prooaganda

rudi kapitia hizi conversation kwa kutuliza akili utajua mjadala ulianza wapi hadi ukamfikia John Mrema ukaenda ukarudi
Zito Huwa ana akili kubwa mno lkn sipendi kuamini huu utopolo kausema ni mtu mwerevu anayechagua aseme nini unless amerukwa akili
 
Huyo mzito kabwela aje akanushe hapa, vinginevyo itaeleweka moja kwa moja kwamba yeye ndo katapika hii shudu...
 
Kwamba Twiga ni Wakristu, walutheri , wakatoliki, waislamu, wapentekoste?
Yani kuna vitu vinasikitisha kwa hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…