Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.
Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.
Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.
Zitto kabwe
View attachment 2251905
View attachment 2251906
Kwamba kuhoji urithi wetu kupelekwa nje ya nchi ni Udini?
Kuuza wanyama hai Kuna promote utalii au kunadidimiza?
Zitto anamaanisha wote wanaohoji mapungufu ya RAIS ni wadini, amefanya utafiti? Ana HAKIKA hawapo watu wa dini yake wanaochukizwa na usafirishaji wanyama?
Kwa kuwataja Mwinyi,Kikwete, na Samia kuwa wa dini hiyo kuhusika na kusafirisha urithi wetu anamaanisha wanaofanya hivyo kupata fadhila au baraka Kutoka dini hiyo?
Kwann masuala ya nchi wanahusisha na Udini?
Kama Mwinyi na Kikwete waliuza wanyama uarabuni kwani ni lazima naye afuate?
Kwann Nyerere, Mkapa na Magufuli hawakujihusisha na biashara hiyo haramu?
Dini ya majangili ni ipi? Au UOVU una dini?
Nani anamshikia Zittow akili Kwa sasa?
Kwa utafiti mdogo niliofanya napata idadi ndogo sana ya watalii Kutoka Nchi za Waarabu kuja kutalii, nawaza labda sababu ni kuwa wanapelekewa wanyama na kujenga zoo hivyo kutoona hoja ya kuja kutalii.
Nashauri Term moja inamtosha kiongozi huyu wa sasa, aje mwingine. Amen