Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Hata sina la kukomenti. Haya yanatosha.

Kuna wakati katika maisha ni kawaida ukawa au kuonekana psycotic. No Comment.
 
Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.

Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.

Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.

Zitto kabwe

View attachment 2251905
View attachment 2251906
Kwamba kuhoji urithi wetu kupelekwa nje ya nchi ni Udini?

Kuuza wanyama hai Kuna promote utalii au kunadidimiza?

Zitto anamaanisha wote wanaohoji mapungufu ya RAIS ni wadini, amefanya utafiti? Ana HAKIKA hawapo watu wa dini yake wanaochukizwa na usafirishaji wanyama?

Kwa kuwataja Mwinyi,Kikwete, na Samia kuwa wa dini hiyo kuhusika na kusafirisha urithi wetu anamaanisha wanaofanya hivyo kupata fadhila au baraka Kutoka dini hiyo?


Kwann masuala ya nchi wanahusisha na Udini?

Kama Mwinyi na Kikwete waliuza wanyama uarabuni kwani ni lazima naye afuate?

Kwann Nyerere, Mkapa na Magufuli hawakujihusisha na biashara hiyo haramu?

Dini ya majangili ni ipi? Au UOVU una dini?

Nani anamshikia Zittow akili Kwa sasa?

Kwa utafiti mdogo niliofanya napata idadi ndogo sana ya watalii Kutoka Nchi za Waarabu kuja kutalii, nawaza labda sababu ni kuwa wanapelekewa wanyama na kujenga zoo hivyo kutoona hoja ya kuja kutalii.


Nashauri Term moja inamtosha kiongozi huyu wa sasa, aje mwingine. Amen
 
Kwa hiyo jamaa kachukia katazo la wanyama pori kutopelekwa uarabuni na kulifungamanisha na udini.......basi ondoeni wamasai huko ngorongoro muweke hao waarabu wavune wanyama wanavyotaka ili ionekane tunawajali sana waja wa mtume.
 
Wewe ujui uislamu ....uislamu unamtaka muislamu kushikamana na mtu yoyote hata kama siyo muislamu katika jambo la haki tena hiyo ni amri kutoka kwa muhamadi mwenyewe ...tatizo hawa tulio nao ni WAISIHARAMU SIYO WAISLAMU , KITABU CHA RAIS MWINYI KINAONYESHA MWINYI ALIMPAPASA MAMA YAKE MZAZI AKIWA UCHI WA MNYAMA SASA HUO NI UISILAMU GANI ,TENA MWINYI ALICHAPWA KOFI NA MUISLAMU MWENZAKE WALA SIYO MKRISTO KISA NI HAYA HAYA MAMBO YA UISIHARAMU
Maelezo yako ya mwanzo yako sahihi kabisa ! Lakini hayo unayoyaita ya waisiharamu hayo kwakweli siyafahamu ! Lakini pia ukikosana na watu wawili watatu wanne au hata kumi usiwachukulie kuwa watu wote wa dini ile au wa asili ile wako hivyo !! Unaambiwa Akili ni nywele kila MTU ana zake !!!
 
Wazungu waliokufa kwa korona na madaktari waliokufa kwa korona wao ilikuwa vipi ni washamba
Pimbi hilo achana nalo! Kila siku linawaza ya Magufuli ya Samia haliyaoni! Stupid sana hiyo!
 
Hiyo ni kujishtukia tu, wala hakuna aliye na time na dini ya mtu, watu tunaangalia utendaji. Kwa hiyo ulitaka wanyama hai wasafirishwe tu kisa mishahara imepanda? Au kisa watu wameacha kutekwa? Kosa la mmoja halihalalishi kosa la mwingine, kila moja litakemewa kivyake
Nadhani kuzungumzia kuhusu udini udini hakuna faida yeyote na pia kuzungumzia ukabila ukabila pia hakuna faida yeyote !! Ni kweli kabisa kosa la mmoja halihalalishi kosa la mwingine !! Hiyo haikubaliki !!
 
Kwahiyo kumbe unajichukia wewe mwenyewe pia !!
Sio mpumbavu mimi, dini zimeletwa hizi kuziendekeza ni upambavu mwingine. Mimi ni mtanganyika ni mwafrika.
Zitto na Fatuma Karume Wasituharibie nchi yetu, anaependa sana Ukristo atafute ulipoanzia akaishi huko.
Na anaeupenda sana uislamu ahamie Makka au Madina.
 
Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.

Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.

Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.

Zitto kabwe

View attachment 2251905
View attachment 2251906
Halafu wahata Si muislamu zittow.

Zittow ni mshirikina, mchawi mchawi tu, Hana dini yoyote.
 
Halafu wahata Si muislamu zittow.

Zittow ni mshirikina, mchawi mchawi tu, Hana dini yoyote.
Na ndivyo inavyo kuwa siku zote, walionzisha dini walikua na nia njema kabisa kuleta watu pamoja kuheshimiana, kusaidina na kutendeana HAKI. Hawa wachawi sasa hawa ndio shida. Shenzi kabisa kabisa.
 
Iyo ni propaganda hata kama zitto simwelewi hawezi kusema uchafu huo acheni kusingizia watu
Zitto ni tapeli sana anasema chochote kwa sasa, Waislamu wa Ikulu wamempa ajira ya kupuyanga kwa miaka 9. Na anapuyanga kweli kweli chezea ajira wewe.
 
Hata mimi naona hivyo pia, Sioni afya ya nchi hii ikiongozwa na waislamu japo mimi ni muislamu. Siwapendi warabu hata kidogo. Ni wanafiki mno kama sisi wafrika.
Acha ujinga hauna uisilamu wowote.
 
Kwa nini kakimbilia kwenye udini badala ya kujibu hoja??
 
Acha ujinga hauna uisilamu wowote.
”Magufuli mungu ”aliwahi sema shekhe wa mkoa wa DSM, ulithubutu kukemea ?! Mimi nilimlaani alhad Musa, acha ushoga wakidini, huna dini yeyote vilevile. TUISHI.
 
Kuuza wanyama hai hilo halikubaliki. Hata kama muuzaji ni mimi au wewe halikubaliki. Zitto ni kiongozi dhaifu, hilo linajulikana. Wa aina yake wanatumiwa na yoyote kwa maslahi ya wanaomtuma. Ndio historia yake. Fufueni TAWICO or
equivalent ili anaetaka kununua na kula nyama pori aruhusiwe. Mradi serikali idhibiti.
 
Kuuza wanyama hai hilo halikubaliki. Hata kama muuzaji ni mimi au wewe halikubaliki. Zitto ni kiongozi dhaifu, hilo linajulikana. Wa aina yake wanatumiwa na yoyote kwa maslahi ya wanaomtuma. Ndio historia yake. Fufueni TAWICO or
equivalent ili anaetaka kununua na kula nyama pori aruhusiwe. Mradi serikali idhibiti.
At least ni bora iwekwe hivyo.
 
Ukweli uko wazi, mama wanamchukia kutokana na DINI, UZANZIBAR na UWANAMKE wake.

Liko wazi, Juzi hapa imepigwa picha ametoka msikitini ijumaa, watu wameongea as if haruhusiwi kuswali.

Tumeona hapa Magufuli kila Jpili kanisani anahutubia kabisa na kutumbua watu akiwa kanisani.

Be fair, nchi ya watu wote, TANGANYIKA na ZANZIBAR.
Na Magufuli tulimkosoa na kumchukia sababu ni mkristo? Au sababu ni mwanaume?
Au unataaka kusema mama Samia ni malaika?
 
Back
Top Bottom