Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Inawezekana pia ushindi kuwatenganisha watu.

Kwa mfano, nasikia sana habari za wapinzani kutaka kuungana wawe na mgombea mmoja ili kuitoa CCM Ikulu.

Fine.

Lakini, wakiungana kwa lengo la kuitoa CCM Ikulu tu, bila ya kuwa na muungano wa zaidi kiitikadi, sera, mipango etc, ushindi ukipatukana, wataangaliana na kusema, ndiyo tumeshinda, tumemaliza kitu kilichotuunganisha. Zaidi ya hapa sisi si wamoja. Watapigana. Watatengana.

Kwa hivyo, hata ushindi unaweza kuwatenganisha watu.

Ndiyo maana mimi nashauri kuungana kufanyike kwa sababu zenye mizizi mirefu, si sababu shallow za kutaka kuitoa CCM Ikulu tu.
 
Sawa lakini tunachosema Membe kuhamia upinzani July, 2020 na miezi mitatu baadaye apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya upinzani kugombea Urais siyo sawa hata kidogo.
Ila ilipofanya CHADEMA kwa LOWASA 2015 ilikuwa sawa duuh, upinzani una safari ndefu sana Tanzania. "Upofu wa makusudi na ujinga wa upinzani ndio unaoifanya CCM iendelee kutawala Tanzania"
 
Uko sawa kabisa ndiyo madhumuni yake hayo kuonyesha chama chake ni zaidi ya Chadema ili imsaidie pia kuongeza idadi ya wanachama.
Zitto yuko pale kimukakati lazima ainyanyue ACT sasa Mh.Mbowe asikubali kunyenyekea Zitto Kabwe aweke mgombea wake. Lazima Chadema ibaki na heshima yake kama Chama kikuu cha upinzani. Kama Membe alitaka vyama viungane ili agombee urais kwanini hakwenda Chadema ? Mh.Mbowe amufungie vioo.
 
Reactions: BAK
Mkuu mna nia thabiti ya kung'oa chichiemu...!!
basi jitahidi kuubili umoja wa upinzani
Sasa mku kwani ACT na Chadema nani mwenye wabunge wengi? Mkubwa atabaki mkubwa tu Membe ajiunge na Chadema ahame
 
Wapi nilipoandika kwamba Chadema kumkaribisha fisadi lowassa 2015 ilikuwa sawa? 😳😳😳😳

Ila ilipofanya CHADEMA kwa LOWASA 2015 ilikuwa sawa duuh, upinzani una safari ndefu sana Tanzania. "Upofu wa makusudi na ujinga wa upinzani ndio unaoifanya CCM iendelee kutawala Tanzania"
 
Membe,Zitto,Maalim wote ni wa umimi na sasa mwenye ACT yake rasmi katangazwa,ikumbukwe hiyo ACT ilikuwa plani B ya Membe na ndie mwenye aliyemwaga mapesa ya kukianzisha na hadi ukatokea mtafaruku wa akina Kitila na wengine kuondoka ACT.
 
Kwanini hutaki mawazo ya wengine mkuu? acha hasira za kijinga mkuu
Mawazo ya "CCM kubaki hadi 2030", hayo nayo ni mawazo; tena bila ya maelezo ya msingi?

Lalamika hapa, lakini malalamiko yako hayana maana yoyote kutokana na hayo unayoita "mawazo".
 
Mawazo ya "CCM kubaki hadi 2030", hayo nayo ni mawazo; tena bila ya maelezo ya msingi?

Lalamika hapa, lakini malalamiko yako hayana maana yoyote kutokana na hayo unayoita "mawazo".
Inaoneka una msongo wa maisha mkuu sababu ya shida ulizo nazo, pole sana mkuu
 
Na

Lowasa naye alikuwa hivyo hivyo mpka yalipomkuta. Na walimyosha kweli kweli wakati mwingine nilifurahi kuukosa urais ili hata kama akifa na uzee wake aondoke na maumivu aliyowafanyia wengine kwa kushiriki na kubariki sheria kandamizi.

Tupe habari zaidi walimkwida nini? Au alipigwa vibao kama maskini mzee w.
 

Ya Lowassa yanatutosha boss.
 
Inaoneka una msongo wa maisha mkuu sababu ya shida ulizo nazo, pole sana mkuu
Kwa nini usijidhani wewe kuwa na "msongo wa maisha" na badala yake uhamishie kwa mtu usiyemfahamu kabisa. Ulishawahi kujihoji juu yahilo?

Anza kujihoji mwenyewe kabla ya kuwahoji usiojua maisha yao yapoje.

Au unadhani nakuchanganya akili mkuu wangu kuhusu wazo hilo?
 

Semeni msemavyo Membe kama ni turufu basi ni Mzungu wa 4 kwa chama cha Eisitii, Eisitii tanganyika hawakuwa na mgombea urais mwenye mvuto angalau atakayeweza kuleta ushindani wa kisiasa na kuwapa khofu watawala lakini saivi ana wiki 2 tu toka ajiunge lakini tayari pressure juu upande ule.,

Jengine ni kwamba Eisitii wamejifunza sana na hawa wadandia jahazi ikibidi Membe kurudi kwao atarudi na shati zake za kijani tu hatakiathiri chama kwa namna yeyote ile. Kama Tundu Lissu hatagombea Membe ndio chaguo la lililobaki.
 
Kila la heri mh. Zitto!
 
Tatizo kila muwamba ngozi huvutia upande wake hata kwa hili watakaa kulumbana badala ya kuungana ili waongeze idadi ya wabunge ndo mechi ingebalansi wananchi wanufaike na kodi zao lakini kwa urais wasahau hayupo wa kuliovateki tingatinga

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Zitto ni kujiamini kuliko uhalisia wa alivyo. Na tamaa ya kuwa KUB.

Kama wapinzani nina mtakia mafanikio mema sana ila ajue ya kina lowasa yakimpata kama ACT haitaweza kuhimili msukosuko kama iliyo ikuta cdm.
 
Misuko suko iliyo kutana nayo cdm ni mikubwa sana sababu ya kuwakaribisha hao mamluki kina Lowasa na Sumaye.

Leo wameondoka baada ya kuiyumbisha cdm, bila cdm kuwa na ukomavu na uzoefu wa misuko suko kama ile leo cdm ingekuwa kama TLP na NCCR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…