Hilo ndiyo issue itaimaliza ACT maana haina base imara ya wanachama ili wahimili hayo mawimbiMembe ni mtu mkubwa sana idarani na huko Act amekwenda kufanya kazi ya idara kwa uaminifu mkubwa
Zitto utakuja juta na chama chako chenye wanachama 6
Thank you [emoji1431] [emoji1420][emoji1420][emoji1420] Huyo Zitto kaanza kuongea ujinga ujinga Chadema wamuangalie kwa umakini mkubwa sana.
Nyani Ngabu,
Zitto anataka kuinua chama chake kwa gharama yoyote kwa madhila aliyowatendea Lowasa na wahamiaji wenzake huko Chadema sioni kwama Chadema watarudia tena.
Kwani Zitto ni mtu mdogo?
Kabisa kabisa mkuu,na sasa hivi kila wakiongea Membe/Zitto ni lazima waseme inabidi kusimamisha mgombea mmoja.
Naona wana agenda yao wale.
Hakuwahi kuongea chochote khs mambo hayo miaka yake yote,why Now?
Zitto anajua fika kwamba Bara Chadema ni more popular kuliko chama chake lakini anafanya juu chini kutaka Membe ndiye awe mgombea wa Upinzani. Chadema wasikubali upuuzi wake. Anataka kuweka mgombea mmoja basi ni Lissu tu na si Membe.
Zitto na Membe wote wako kwenye payroll ya maCCM
Zitto na Membe wanajua wanachofanya, mengine yote ni maigizo.
Mpaka hapo ushirikiano wa vyama kati ya Chadema na ACT haupo
Naunga hoja kwa 100% mkuu.
ZZK atakubalije Lissu awe mgombea urais vyama vya upinzani? Yeye anataka Membe lazima Chadema ionekane iko chini na ACT iko juuuu!!!!1
Uko sawa kabisa ndiyo madhumuni yake hayo kuonyesha chama chake ni zaidi ya Chadema ili imsaidie pia kuongeza idadi ya wanachama.
Yaani ninavyowajua wafuasi wa Mwamba (Mbowe) watalikuza hili jambo kupita kiasi. Na linaweza chochea vita kubwa sana kati ya Chademana ACT na kuondoa uwezekano wa kuungana kwenye uchaguzi huu. Hapo Nyani Ngabu (the Sukuma Genious) atakuwa amefanikiwa sana kufanya 'divide and rule'. Na CCM itapita katikati kiulanii. CCM Hoyee.....
Watazania kama tunataka mabadiliko tusipende sana kubeza jitihada za vyama vya upinzani, nashangaa upinzani kwa upinzani kubezana , hivi upinzani kuna nani ambaye anakubalika zaidi au anaweza kushindana na membe? ni wakati wa vyama vya upinzani kuungana na kusahau uchama wenu, mnabeza je juhudi za ACT wazalendo? unganeni mpitishe mgombea mmoja.
Kwann membe kafukuzwa kipindi cha uchaguzi
Jibu lake weka na ujumlishe na maneno yake jibu unalo pata ni ccm wanahamisha magoli kupeleka uwanja mdogo kwa faida yao
Hahahah yaani kweli kabisa Chama ambacho watu wake maarufu ni wawili tu Zitto na Baba Levoo ndio kiwe zaidi ya Chadema?
Tatizo la ACT wamekusanyana woote ni wasaliti ebu angalia historia yao:
1. Maalim alisaliti "Lumumba" Baba wa Taifa akumuweka Pembeni...akakimbilia kwao zbr.
2. Zitto alitaka kusaliti na kumpindua Mwenyekiti wake tena kwa ila na ghiliba wakamstukia mapema wakamtimua
3. Membe alitaka kumuondoa madarakani mwenyekiti wake akawahiwa..akatimuliwa
4. Saed Kubenea na wenzake walitaka kuiga matendo ya Zitto alipokuwa Chadema wakawahiwa ni kupewa adhabu kali ikiwa ni pamoja na "kutengwa"..wenzake wameshatangulia vyama vingine vya upinzani alikuwa anasubiriwa yeyeye..e.t,c
Sasa 1. Msaliti+2.Msaliti+3.Msaliti+Msaliti= MTAJAZA WENYEWE MAJIBU
Hakuna Jipya