Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Chief Hangaya alikuwa ni msaidizi wa shetani.Msaidizi wa shetani hawezi kuwa Malaika.Hata kesi za kubambikiza zilianza awamu ya tano kama mama alivyosema yeye atasimama na haki za wananchi kama alivyoapa.
NikweliKwa ilo gari bovu ulikua utawala wa chama gani kama sio ccm. Shida, mateso kwa watanzania na mikataba mibovu yote ni zao la ccm
Mgao pia jumba bovu awamu ilopita watu walikua hawafanyi maintenance plus ukame mama angefany nnmgao wa umeme na wenyewe ni jumba bovu? hapana ili kaupiga mwingi
Wakati wa awamu iliyopita alikuwa mmoja wa madereva.
Leo mama ameshtuka. Atasimamia haki za wananchi sio za akina Kingai ,Goodluck na dereva azizi.
Kweli wewe ni mtu wa Propaganda wa hali ya juu. Kila kitu unakibadili kwa faida yako.View attachment 2032644
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Leo Mtukufu Rais kwa kinywa chake mwenyewe ametamka kwamba ameona mambo ya hovyo ambayo amebambikiwa na awamu zilizopita , ameongea mengi na kukemea vikali kundi la watu waliomuangushia gari bovu kwenye awamu yake kwa lengo la kumchafua .
Mh Samia hakuwataja wapinzani , bali amewataja wanaccm wenzake na viongozi waliomo kwenye serikali yake mwenyewe , hawa watu wa hovyo ndio walewale waliokuwemo kwenye awamu ya 5 , hawa ndio waliomuangushia gari bovu mama na kumlisha maneno ya uongo ya kwamba Freeman Mbowe ni Gaidi , Njama zote za kumbambika kesi ya Uongo ya Ugaidi Mbowe zilipangwa kwenye awamu ya 5 na hawa hawa watu wa hovyo waliotajwa leo
Kesi ya uongo iliyofunguliwa kishamba sana bila hata ushahidi wa kuthibitisha ugaidi wa Mbowe , sasa inadhalilisha Nchi kila mahali duniani , mliyoyasikia huko EU ni ushahidi wa kwamba hili ni gari bovu aliloangushiwa mama na utawala uliopita kwa msaada wa vyombo vya dola , ANAPASWA KUTOONA AIBU KUIFUTA KESI HII ILI KULINDA HESHIMA YA UTAWALA WAKE , na baada ya kufuta uchafu huu unaoleta harufu kali na mbaya duniani kote , tunaamini atafanya mabadiliko kwenye uongozi wa vyombo vya dola nchini , Ili kuondoa watu wa hovyo wanamuangushia gari bovu
KUANZA UPYA SI UJINGA .
Ushauri angeweza kuukataa, hata sasa anweza kuifuta hio kesi muda wowote akitakaWakuu wa usalama, washauri ni wa Magu au wa Mama.
Wanabadilika maneno tuCcm ni ile ile mkuu wana miaka zaidi ya 40 hawajawiii badirika
Mama kasema atasimamia haki za wananchi. Nyie Pro Mwendakuzimu hata hamwelewiKweli wewe ni mtu wa Propaganda wa hali ya juu. Kila kitu unakibadili kwa faida yako.
Dhamira ya mama inaonesha wazi kuwa hataki maugomvi na kulipiza visasi.Lakini kwakuwa ameshajionea nia ovu ya baadhi ya watu dhidi ya uongozi wake,ni vizuri akatoa maamuzi magumu.
Daa mama aliingia Cha kike yaani kwa hii kesi hasafishiki[emoji1]kesi ilimshinda mwendazake baada ya kuona ushahidi ni fyongo hauko vzr, mama akalishwa matango akakubali na kuidanganya dunia kuwa mbowe ni gaidi
Free Freman
Nimebadili nini ?Kweli wewe ni mtu wa Propaganda wa hali ya juu. Kila kitu unakibadili kwa faida yako.
Wakibadilishwa majina then ndio inaondoa ukweli Kwamba walikamatwa na utawala wa Magufuli?Kusema hivyo Wenda hufatilii kesi iliyopo mahakani....hao makamando wanasema walibadilishiwa majina...huwezi jiongeza kwa nini majina yalibadilishwa
sawa tumemsikia, tarehe 14 asubiri