Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

Yaani unalinganisha mwanasiasa vs mwanasiasa na Mwanasiasa vs mkuu wa chombo cha dola ambaye ni mteule wa Rais pia, kweli?!!
Magufuli na zitto walikuwa wanasiasa na ndo maana hata Magufuli alikuwa anawadhalilisha pia wanasiasa wenzie wa upinzani, lakini IGP sirro sio mwanasiasa na kwa kazi yake ya uaskari anatakiwa amtii kwelikweli rais ambaye ni bosi wake pia kule jeshini.
 
Watu ambao kwa Tanzania hutakiwi kuwaamini saaana
1.Mwanasiasa
2.Watu wa Kigoma
3.Wachaga
4.Wasukuma
5.Wagogo
6.Wanyakyusa
7.Wahaya
8.Wasomi hasa Maprofesa na Madokta PhD
9.Wasanii hasa bongo Muvi
10.Wamakonde.
Afadhali sisi wahehe, wapangwa, wabena, wangoni, hatumo kwenye hiyo orodha. Tupatie basi uongozi ili tuwaongoze kwa ukweli, haki na upendo.

Kuna baadhi ya makabila, sijui ila ndugu zangu wasukuma, kuna shida kubwa. Wanapenda sana kuongea. Kuthamini muda zero, kuheshimu makubaliano zero, ukigeugeu 100%, nidhamu ya kazi zero (leo anaweza kuja kazini, kesho asije kwa sababu ya sherehe, au mganga wa kienyeji alitembelea kwetu, n.k.).
 
Wewe ''mama'' ni fiksi kweli kweli. Wakati Magufuli anaugua ulitupiga fiksi mimi nikadhani ni mtu wake wa karibu kabisa.
Fiksi zipi ?Kwani kifo hupiga hodi ?Mgonjwa kuendelea vizuri mara kifo kinamchukua. Hapo Uongo uko wapi ?
 
Zitto ni mnafiki wa hali ya juu, mdini na mpigaji anayejali maslahi yake binafsi.
 
Watu ambao kwa Tanzania hutakiwi kuwaamini saaana
1.Mwanasiasa
2.Watu wa Kigoma
3.Wachaga
4.Wasukuma
5.Wagogo
6.Wanyakyusa
7.Wahaya
8.Wasomi hasa Maprofesa na Madokta PhD
9.Wasanii hasa bongo Muvi
10.Wamakonde.
😂😂😂😂😂😂
Mi nacheka tu.
 
Gwajima ni mbunge hawezi kamatwa bila kufuata taratibu
Hiyo sio sababu, hata wapinzani ni wabunge na huwa wanakamatwa bila utaratibu.
Bali katika sakata hili Gwaji hoja zake ziko sahihi
 
Huyo IGP apokee amri kila kona,si lastly ataamrishwa hata na katibu kata,IGP mwendo ameuanza tunatakiwa tumsapot na aendelee kukataa amri zisizo halali hivyo hivyo hata kama ni za Rais,hopefully atarudisha imani ya jeshi la polisi KWA wananchi.
 
Zito ni mtu mnafiki sana wanaomshadadiola hawamjuali ndiyo maana, tangu akose ubunge amekuwa Kama mtu aliyechanganyikiwa.
 
Huyo IGP apokee amri kila kona,si lastly ataamrishwa hata na katibu kata,IGP mwendo ameuanza tunatakiwa tumsapot na aendelee kukataa amri zisizo halali hivyo hivyo hata kama ni za Rais,hopefully atarudisha imani ya jeshi la polisi KWA wananchi.
Hahahaha, Makonda alipo akisoma mchango huu ana cheekaa, alovyomliza huyu mzee.
 
Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima.

Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH.

Chanzo: StarTV medani za siasa.
Mbona IGP alikuwa anatii hata amri za mwanaCCM wa chini kabisa? leo kwa nini anamgomea Waziri? au kwa vile ni mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…