Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Dah, siyo vizuri alichofanya, halafu Yale maumivu yaliyosababisha huo mguu uwe mfupi asingetumia hilo neno.Huku mtaani Chiba ni mtu mwenye mguu mmoja mfupi au usioeleweka.
Yule Sony Chiba alikuwa anang'oa watu miguu na mikono kama unamkumbuka lakini.
Yaani alimkejeli ili baadae aombe radhi?Nipe matokeo ya kuendeleza mjadala wa namna hii? Ameomba radhi, nini cha ziada?
Kuomba radhi ni swala moja kukubaliwa ni swala jingine.Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.
Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Yohana Mbatizaji acha kuchochea kuni.Yaani unateleza kumwita mlemavu wa miguu Chiba?
Labda angemwita vinginevyo tungemwelewa lakini siyo Chiba.
Na yule jamaa wa twitter hupendelea sana kumwita Lisu kama Chiba.
Bwashee, wewe hujui maana ya Chiba?Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?
Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
Kiongozi kwa nafasi aliyo nayo Zitto kwenye jamii na sura ya kisiasa Sasa hivi hapa nchini kwetu ni wazi kuwa Zitto angetakiwa kuwa makini kwa kila neno linalotoka kinywani mwake na kile anachokiandika.........Angetamka kwa kudhamiria sawa ila hili amesema ameteleza na ameomba radhi. Sisi ndio tunataka kuyakuza sasa.
Lissu si mlemavu, anatembea kwa miguu yote na hajapoteza kiungo mkuu wangu.Kuomba radhi ni swala moja kukubaliwa ni swala jingine.
Viongozi wajifunze kuwajibika pale wanapokosea, Ni aibu kwa kiongozi kariba ya Zitto kutamka maneno kama haya.
Hata CCM pamoja na kebehi zao zote kwa upinzani sijawahi kuwasikia wakimdhihaki Lissu kwa ulemavu wake.
Yaani Zitto kwa mwaka anasoma vitabu zaidi ya miamoja ashindwe kujua maana ya neno Chiba.?Kwamba ampachike mtu jina pasipo kujua maana yake?
Kama ungemjua Soni Chiba alivyokuwa anawang'oa watu miguu na mikono ungetafakari sana Zitto kamlenga nani.Sidhani kama alifanya hivyo kwa makusudi ukizingatia Mama yake alikuwa na Ulemavu.., Na Lissu sio Mlemavu naturally...
Nawashauri wapinzani wote waache kwenda personal na waanze ku-attack issues..,
Hizi gutter politics can only go so far.... Tukumbuke tunajenga nyumba moja...,
Thinking about it....🤔
Au tunabomoa nyumba moja ?
Mguu mmoja mfupi mwingine mrefu sio mlevu? Vipi na albino wenye kila kitu lakini wanaitwa walemavu wa ngozi kisa rangi yao..Lissu si mlemavu, anatembea kwa miguu yote na hajapoteza kiungo mkuu wangu.
Zitto anashinda twitter na huko neno Chiba linatumika kila siku.Yaani Zitto kwa mwaka anasoma vitabu zaidi ya miamoja ashindwe kujua maana ya neno Chiba.?
Angetamka kwa kudhamiria sawa ila hili amesema ameteleza na ameomba radhi. Sisi ndio tunataka kuyakuza sasa.
Hujaelewa...Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?
Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
Nope Simjui..., wala sidhani kama kila mtu anamjua..., ila point yangu ni kuhusisha suala hili na ulemavu na ni kwamba sidhani intentionally kama Zitto anaweza kuwadhihaki walemavu..Kama ungemjua Soni Chiba alivyokuwa anawang'oa watu miguu na mikono ungetafakari sana Zitto kamlenga nani.